Bomu hatari duniani lipo Russia!!

Daah..mwaka huu tutasikia mengi
 
Ohio submarines tu za US zinabeba 24 Trident missiles each na zipo 18 na kila Trident inabeba 8-10 nuclear warheads hvyo Ohio submarines tu zinabeba 3456 nuclear warheads na kila baada ya dk.1 submarine inauwezo wa kulaunch 10 nuclear missiles hyo inamaanisha ni 80 nuclear warheads per minute kwa submarine moja na jumla zipo 18...Hpo bado land based nuclear missiles.
 
Huwaga wanayajaribia sehemu gani ya dunia hayo mabomu? naonaga picha nyingi sana mtandaoni ya vitu vya moto.
 
Ndio maana trump anajipendejeza kwa Putin duuh jamaa kapima upepo anaona Putin is better than nato
 
US noma sana
 
halafu nimeangalia hivyo vidole vya putin ni sugu sana,jamaa anapiga push up za kidole kimoja hadi 50
 
Kwa siasa yetu hii..., usishangae mkalitupa kwenye mkutano wa upinzani mkatuletea balaa wote
Baadae wanasema hawakujua kama linaweza kulipuka[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Jenerali mmoja wa kimarekani, nadhan ni General Miller alisema ni ujinga kuanza Kupigana na nchi ingine ambayo mnajua mna nguvu sawa nayo kijeshi. Nilimpendea hapo
 
Sio ukweli USSR. Ndo ali play part kubwa zaid kuhakikisha ile vita german amessurrender....ulichokielezea hapo ni propaganda tu za USA...
 
Yule mama angeingia Ikulu Tension WW3 ingekuwa kubwa zaidi. Bora Mungu kaliona hilo
 
Hawa nao labda wasbr vita vya nuclear ndo watatisha, vita visivyo vya nuclear wakae pembeni..... Maneno mengiiii mwisho wa siku anakuja kukumutwa kama dogo tu. Atulie tu na sio kujisifu. Naendelea kushangazwa tangu kusikia Russia ina aircraft carrier moja tu in service.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…