Never end ever..hawana lolote. Dubiri atakavyosambaratishwa zikianza.SATAN-2 Made in Russia likionyeshwa live tarehe 27/10/2016,hili kombora ndio hatari zaidi kwa sasa duniani limetengenezwa kwa advanced technology ni inter-continental linafika popote duniani na kwa muda mfupi tuu kwa kasi ya ajabu,lina uzito wa tani zaidi ya 100,linabeba mabomu 10-15 ya atomic,kombora kama hili moja linaweza kuigeuza majivu nchi yote ya UFARANSA.Makombora kama haya 54 yanaweza kuiangamiza USA kabisa.
Pamoja na silaha nyingine kali za kivita ndio maana Rais wa Russia kwa kujiamini kabisa alisema hivi
"we have the best army in world"
Unaota? Nani alimsambaratisha Hitler? Wakati Uncle Sam Vietnam tu ilimsambaratisha!Never end ever..hawana lolote. Dubiri atakavyosambaratishwa zikianza.
Hamia Russia mkuu me nabaki AfricaHawa jamaa nawapenda sana
Kwa ajiri ya kumtwanga nani?Haaaa ,,Bei gan moja,, inabidi na sis tumiliki angalau 2 tu
Ukiwapenda Russia means huwapendi USA...Hawa jamaa nawapenda sana
Tumpige nalo mkuuHaaaa ,,Bei gan moja,, inabidi na sis tumiliki angalau 2 tu
Sio kwelinaipenda urusi sababu anajua kumkuntroo chiz u.s.a
Labda huijui tuu ww2 ilivoenda. Russia alisha surrender na parts kubwa ya russia ya ulaya ilikuwa imetekwa.na walishaanza kujenga maandaki kuulinda mji wa moskow maana germans walikuwa wanakaribia.wajerumani walichokosea ni kudivert wanajeshi wengi kuiteka kiev na kingine kuwa na maadui wengi.wao wakiwa wachache.na kama lengo lao la vita lingekuwa kuiteka urusi.wangeiteka tuu.maana walikuwa na more advanced weaponUnaota? Nani alimsambaratisha Hitler? Wakati Uncle Sam Vietnam tu ilimsambaratisha!
SATAN-2 Made in Russia likionyeshwa live tarehe 27/10/2016,hili kombora ndio hatari zaidi kwa sasa duniani limetengenezwa kwa advanced technology ni inter-continental linafika popote duniani na kwa muda mfupi tuu kwa kasi ya ajabu,lina uzito wa tani zaidi ya 100,linabeba mabomu 10-15 ya atomic,kombora kama hili moja linaweza kuigeuza majivu nchi yote ya UFARANSA.Makombora kama haya 54 yanaweza kuiangamiza USA kabisa.
Pamoja na silaha nyingine kali za kivita ndio maana Rais wa Russia kwa kujiamini kabisa alisema hivi
"we have the best army in world"
Labda huijui tuu ww2 ilivoenda. Russia alisha surrender na chache.na kama lengo lao la vita lingekuwa kuiteka urusi.wangeiteka tuu.maana walikuwa na more advanced weapon