Bomu Arusha - Vatican yawasilisha taarifa UN

Status
Not open for further replies.
Gaidi aweza kutoka dini yoyote na ethnicity yoyote . Kuna motives mbalimbali za ugaidi na sio dini pekee, mtu anaweza akalaghaiwa kwa fedha, akawa na chuki , hata mfadhaiko (depression) tu huweza kupelekea mtu kufanya vitendo vya kigaidi na mwishowe kudhuru wenzake . Kwa hiyo yawezekana kabisa tukio la Arusha ni la kigaidi na wahusika ni Wakristu wenyewe kwa sababu zao wenyewe.
Sina hakika kama kuna mtu yeyote, awe Muislam au Mkristo anafurahia ugaidi kwasababu wanaodhurika au kufa ni ndugu zetu kabisa . Ugaidi haukubaliki popote iwe Africa, Asia , Amerika au popote ulimwenguni
Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi, na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake yako Arusha na Afrika!

Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?
 
Hii thread tayari ishaletwa na mdau alfajiri ya leo!
Tuwe tunarambaza mabandiko kabla ya kupost!
 
Wa-Tanzania Tuwe macho maana kuna Watu wana Yao wanatafuta jinsi ya kuingia nchini. Mwenye akili atajiuliza Huyu Mwakilishi wa Vatican hajaenda kupeleka malalamiko UN kuhusu vitendo Kama hivyo vinavyofanywa nchini kwao India. Hapa naomba tuwe na tahadhari kubwa
 
Hata Ambroce ni changa la macho,itikadi kali ndio wamefanya mambo ila serikali imeamua kubalance mambo wenye akili timamu tumeshajua.
 
Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi, na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake yako Arusha na Afrika!

Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?

We unauhakika Gani Kuwa Vatican haikutaja Asia.
Few Questions to you.

1. Katika Mlipuko Wa India, Kulikuwa Kuna Muwakilishi Yeyote wa Vatican?
2. Kulikuwa Kuna Muwakilishi Yeyote wa OIC???, Je OIC Wali submit hiyo issue UN?
3. Je, Hao Asia waliwakilisha Kilio chao UN??
4. Ulitaka Vatican ndo wawasemee??
5. Huoni kuwa kwenye Mlipuko wa Arusha Mazingira yanaoneka Mlengwa alikuwa ni Balozi wa Vatican??
6. So Ulitaka Vatican Wakae Kimya Juu ya Hilo??

Ushauri wangu Kwako na kwa wote wenye Mitazamo Hasi kama wewe.

Vatican inajali Raia wake, Thats why wame submit UN Maoni yao.
UAEinajali Raia wake, Thats why walikuja juu sana Kuhoji uhalali wa Raia wao kukamatwa Arusha
Nakushangaa Kwanini Humuulizi Mr Dhaifu kwa Kuchekelea na Kukenua Meno Pale Wadogo zetu walipokamatwa na Kudhalilishwa Ukrain.
Hata Hakupiga Kelele.
Acheni Nchi zinazojali Raia wake Zikemee Vitendo vya Kipuuzi wanavyofanyiwa Raia wao Ugenini.
 
Mlipuko kanisani Arusha Gaidi wetu yuko ndani ya CCM na serikali yake hata kesho kumbe watu hatukuelewana. Katika mkasa huo lengo kuu ni kutugombanisha Wakristo kwa Waislamu jijini Arusha ili iwe ni njia ya CCM kuweza kujipatia japo ka-kiti kimoja cha udiwani kwenye uchaguzi unaotarajiwa. Mambo jijini Arusha hadi hivi sasa ni kula kwa CCM ila KURA zote za udiwani ni kwa CHADEMA, kwisha kazi!!!!!!!!!!!
 
Kwakweli haya matukio sereka li inayapuuzia lakini yatakuja kuligari taifa haya motukio niyakupigwa vita na dini zote
 
Labda kwa ilo tamko la toka UN serikali ya CCM inaweza kuanza kuwa serious na hili!
Toka lini dreva ndo akawa mtupa bomu?
Suala la kutupa bomu ni timing unaweza kufa ukiwa hauna timing sasa haingii akilini jamaa ashuke atupe bomu na kuwai bajaji then atoroke.
Ukweli tutaupata toka kwa FBI
 
Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi, na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake yako Arusha na Afrika!

Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?

Ama kweli ndugu yangu unatapika pumba kwa hii kauli yako.

Hivi unajua maana ya ugaidi au unaropoka tu.

Je, una uhakika gani kama hajatoa lawama kwa hayo mabomu yanayolipuka India?? je ulishjamfuatilia au unaongea ili uonekane na wewe umechangia hoja hii??

TAFAKAR kABLA YA KUANDIKA USIWEKE uSHABIKI USIO NAMAANA KATIKA UHALISIA WA MAMBo.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hata ambroce ni changa la macho,itikadi kali ndio wamefanya mambo ila serikali imeamua kubalance mambo wenye akili timamu tumeshajua.

Wakristo wanaonewa kweli, jamaa wanakulipua halafu mnakamatwa wenyewe eti mmejiripua ( Ambrose ni mkatolic safi)
 
Balozi kachemsha vipi wakati Rais Kikwete, waziri wa mambo ya ndani tz, waziri wa mambo ya nje tz, Rc Arusha, wanasema ni tukio la kigaidi? au una tatizo binafsi ya balozi?

Tatizo la utapia mlo wa utotoni, unaharibu mpaka thinking ya ukubwani! Zile 52% za JK zilianza zamani

Haja taja Uislamu wala waislamu, amejisemea wazi ni ugaidi kama ambavyo Pengo, Nchimbi, Mwema na hata Kikwete! Balozi wa Vatcan amechemsha wapi?
Tatizo la utapia Elimu nao unachangia. Dini zetu zisitumbaze, tuione dunia kama mahali salama na stahiki kwa watu wote bila kujali dini, rangi au kabila!
Ukiangalia wengi humu tunatoka povu kwa maneno ya kulishwa kwenye mihadhara! Wengine shule wameenda ila ni sifuri kabisa kufanya critical thinking and analysis ya mambo! Unakubalije kulishwa upuuzi na mtu ambaye anadhani yeye ni bora zaidi kuliko wengine? Kama ndo hivyo Mungu alikuwa na sababu gani kuumba watu wa dini/rangi/kabila nyingine?
 
Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi, na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake yako Arusha na Afrika!

Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?

Kwanini unadai walipuaji ni wakristo?? Unamaana wakristo hawezi kuwa gaidi au gaidi ni nani? Mwislam ama
 
Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi, na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake yako Arusha na Afrika!

Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?

hapo kwenye red nadhani unamaanisha ugaidi ni lazima ufanywe na muislamu
 
Hata Ambroce ni changa la macho,itikadi kali ndio wamefanya mambo ila serikali imeamua kubalance mambo wenye akili timamu tumeshajua.

'tafuta padre tafuta kardinali, mchunngaji au hata mlei uuuuuuuuuuaaaaa aaaaa...!uue dhahiri ama kwa kificho'' shehe Ilunga
 
kwa hiyo halihusiani na ugaidi kwa sababu aliyekamatwa mpaka sasa ni kijana wa Kikristo,unamaanisha kwamba Wakristo si magaidi ila wa dini ntungine.........

Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi, na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake yako Arusha na Afrika!

Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?
 
"IT IS DIFFICULT TO FIGHT AGAINST FAITH THAN KNOWLEDGE" .ADOLPH HITLER.:laser:
 
Hawa Kenge wanatafuta sababu za kuja Kuiharibu hii nchi...
Huyo Askofu aanze na nchini kwake kwanza...kila siku mabomu yanalipuka ...
Mtu mpaka kwenye malls mnakaguliwa mabomu.....Ushindwe Kardinali
 
huyu askofu aanze kwanza kwao INDIA kuna matukio ya ubakaji kula kukicha .... wakatoliki wamelipuana wenyewe kwa wenyewe ...
 
wewe kweli njiwa na akili zako za huyo ndege
 
huyu askofu aanze kwanza kwao INDIA kuna matukio ya ubakaji kula kukicha .... wakatoliki wamelipuana wenyewe kwa wenyewe ...

Aaah, njiwa , Dog....o letu hiloooo
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom