msafiri.razaro
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,244
- 744
Kadogoo, unahitaji kufunguliwa macho kwa sababu huoni na hujui kama hujui unachokiongea.
1. Aliyerusha bomu alishuka kwenye gari kavaa kanzu, policcm wakamkamata dereva wa bodaboda na kumtwisha kesi.
2. Mhariri Kibanda katolewa kucha na wahusika kesi katupiwa Lwakatare, wakati muandaaji wa tuhuma, mwigulu yupo uraiani anazurura tu, na watu kama wewe bado wanawasikiliza policcm. Mahakama kuu imetupilia mbali hayo madai, policcma wako kimya hawana la kusema.
3. Ulimboka katendwa na policcma na kawataja kwa majina na mmoja alikimbizwa na wananchi muhimbili na kuoneshwa live kwenye Tv, policcma hawamchukulia hatua yoyote!
4. Policcm walimtupia mkenya kesi ya Ulimboka, ubalozi wa Kenya walipomuulizia mtu wao, policcma wamekaa kimya.
5. muongo kawadhalilisha wanafunzi IAA, kesi anafunguliwa mbunge wa CDM
6. Ilitolewa CD inayoonesha mkutano wa kukuza chuki na udini Udom, je? policcm wamemshtaki nani mpaka sasa¬?
7. Soma na hii ripoti hapa chini halafu endelea kukosoa wanaofuatilia maswala muhimu ya kimataifa ...
Subject: U.S. Embassy Dar Es Salaam: Message to U.S. Citizens- Recent Incidents
May 24, 2012:
Crime continues to plague everyone--expatriates and Tanzanians, permanent residents, and visitors. Criminal activity takes place during the day but even more under cover of darkness.
Recent Incidents Reported to the U.S. Embassy:
On Sunday, May 20 around 1030 four men including two in brown police uniforms with polisi emblems approached a motorist who parked near the Sea Cliff Hotel. The men were in a small silver vehicle with a spare tire mounted at the rear. The men started to exit their vehicle but their uniforms didn't appear quite legitimate. The motorist/pedestrian moved away to a more visible public space and the men got back in their car and sped away.
On Saturday, May 19, around 0200, six assailants overpowered a guard at an American residence on Mwaya Street near Funky's. The guard was bound and gagged before he could hit his panic button. Some of the gang cut screens on the porch, others worked on a door. They slid open one door but couldn't defeat a bar lock to gain entry to the house. Others hammered and pried at another grill. The banging on the bars awakened the residents who hit their panic button. This alerted the Knight Support mobile patrol to respond. Meanwhile the residents locked themselves into their safe haven and yelled at the assailants. The assailants didn't care and didn't depart until the mobile patrol arrived and then they all disappeared. (Do you have a panic button? Does it work? )
On Friday, May 18,2012 at 2230 three individuals reportedly dressed in police uniforms gained entrance to a property on Haile Selassie. The three were accompanied by another ten or twelve men who tied up three guards. Then they scaled the wall and invaded the neighboring property which seems to have been their intended target. They chased down a guard, tied, gagged, beat, and stripped him, dumping him in a garbage bin. Simultaneously other assailants broke down an office door, armed with pangas and hatchets. An office worker hit the panic button and Knight Support mobile patrols responded. However, several laptops, cell phones, money and other items were stolen.
Usiwe na negative mentality kwenye maswala yanayohitaji ufuatiliaji na utekelezaji wa haraka kwa usalama wa nchi hasa kwenye maswala ya kimataifa. Tanzania ni nchi, siyo kitongoji kwamba ishu kama hizi zipuuzwe tu bila utekelezaji wowote.
Open your eyes and think critically in such times as these. Haya mambo yana affect amani ya nchi, uchumi, maendeleo, mshikamano, uelewano, n.k.
Hongera sana kwa Knight Support kwani wanafanya kazi kubwa sana sio hawa polisi wa Nchimbi, ukiwaita kwenye tukio wanakuuliza kama utawasaidia Pesa ya Diesel. Kwa hili la Arusha kweli siwaelewi hawa polisi yaani wanataka kutufanya sisi majuha. Yaani yule dereva wa boda boda ndia aliyepanga na kurusha lile bomu kweli?