Bomu Arusha - Vatican yawasilisha taarifa UN

Bomu Arusha - Vatican yawasilisha taarifa UN

Status
Not open for further replies.
Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi, na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake yako Arusha na Afrika!

Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?

Mkuu, naomba mwongozo wako hapo kwenye Red, una maana magaidi hua ni wa dini ya Kiislam tu? Wakristo hawawezi kua magaidi? Please naomba mwongozo, stanii!
 
Tunaomba Israel watie nanga maeneo ya Mwambao wakamate magaidi, ndiko yanakopitia na kuja kuwapa hela akina gaidi PONDA ili kuua watu
 
Hivi wewe unasema nini hapa?
Unaleta mawazo yako madogo kama ulivyo?
Mijinga mingine sijui kwanini wamo humu!

Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi, na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake yako Arusha na Afrika!

Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?
 
Intelejensia ya Mwema inacheza na HISIA za watanzania kutaka kuwaaminisha Watanzania kwamba aliyetupa bomu kanisani ni muendesha bodaboda kijana Victor Ambrose.

Wanasahau kwamba FBI pia wapo na upelelezi wao wataupeleka moja kwa moja kwa Baba Mtakatifu Francis I na baadaye utatinga kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambapo Tanzania itakuwa black listed as State sponsored terrorrism. Kama Mwema na Serikali ya CCM wanafikiri wanaweza kuwachezea VATICAN kama walivyotuchezea Watanzania kwenye Sakata la Dr. Ulimboka na kichaa Mkenya Joshua Mlundi, basi serikali ya Kikwete imekula kwake.

Tunataka Kikwete awakamate magaidi wa KWELI waliolipua Kanisa Arusha hata kama watakuwa wa dini yake, kabla nchi yetu haijawa black listed!
 
Hawa magaidi wa Tanzania wanajiamini sana, ni nadra sana kusikia watu wanashambulia VIONGOZI WA VATICAN ukiacha kipindi kile JONH PAUL alipopigwa risasi.
 
Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi, na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake yako Arusha na Afrika!

Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?

Kadogoo, unahitaji kufunguliwa macho kwa sababu huoni na hujui kama hujui unachokiongea.
1. Aliyerusha bomu alishuka kwenye gari kavaa kanzu, policcm wakamkamata dereva wa bodaboda na kumtwisha kesi.
2. Mhariri Kibanda katolewa kucha na wahusika kesi katupiwa Lwakatare, wakati muandaaji wa tuhuma, mwigulu yupo uraiani anazurura tu, na watu kama wewe bado wanawasikiliza policcm. Mahakama kuu imetupilia mbali hayo madai, policcma wako kimya hawana la kusema.
3. Ulimboka katendwa na policcma na kawataja kwa majina na mmoja alikimbizwa na wananchi muhimbili na kuoneshwa live kwenye Tv, policcma hawamchukulia hatua yoyote!
4. Policcm walimtupia mkenya kesi ya Ulimboka, ubalozi wa Kenya walipomuulizia mtu wao, policcma wamekaa kimya.
5. muongo kawadhalilisha wanafunzi IAA, kesi anafunguliwa mbunge wa CDM
6. Ilitolewa CD inayoonesha mkutano wa kukuza chuki na udini Udom, je? policcm wamemshtaki nani mpaka sasa¬?
7. Soma na hii ripoti hapa chini halafu endelea kukosoa wanaofuatilia maswala muhimu ya kimataifa ...
Subject: U.S. Embassy Dar Es Salaam: Message to U.S. Citizens- Recent Incidents
May 24, 2012:

Crime continues to plague everyone--expatriates and Tanzanians, permanent residents, and visitors. Criminal activity takes place during the day but even more under cover of darkness.

Recent Incidents Reported to the U.S. Embassy:

On Sunday, May 20 around 1030 four men including two in brown police uniforms with polisi emblems approached a motorist who parked near the Sea Cliff Hotel. The men were in a small silver vehicle with a spare tire mounted at the rear. The men started to exit their vehicle but their uniforms didn't appear quite legitimate. The motorist/pedestrian moved away to a more visible public space and the men got back in their car and sped away.

On Saturday, May 19, around 0200, six assailants overpowered a guard at an American residence on Mwaya Street near Funky's. The guard was bound and gagged before he could hit his panic button. Some of the gang cut screens on the porch, others worked on a door. They slid open one door but couldn't defeat a bar lock to gain entry to the house. Others hammered and pried at another grill. The banging on the bars awakened the residents who hit their panic button. This alerted the Knight Support mobile patrol to respond. Meanwhile the residents locked themselves into their safe haven and yelled at the assailants. The assailants didn't care and didn't depart until the mobile patrol arrived and then they all disappeared. (Do you have a panic button? Does it work? )

On Friday, May 18,2012 at 2230 three individuals reportedly dressed in police uniforms gained entrance to a property on Haile Selassie. The three were accompanied by another ten or twelve men who tied up three guards. Then they scaled the wall and invaded the neighboring property which seems to have been their intended target. They chased down a guard, tied, gagged, beat, and stripped him, dumping him in a garbage bin. Simultaneously other assailants broke down an office door, armed with pangas and hatchets. An office worker hit the panic button and Knight Support mobile patrols responded. However, several laptops, cell phones, money and other items were stolen.

Usiwe na negative mentality kwenye maswala yanayohitaji ufuatiliaji na utekelezaji wa haraka kwa usalama wa nchi hasa kwenye maswala ya kimataifa. Tanzania ni nchi, siyo kitongoji kwamba ishu kama hizi zipuuzwe tu bila utekelezaji wowote.

Open your eyes and think critically in such times as these. Haya mambo yana affect amani ya nchi, uchumi, maendeleo, mshikamano, uelewano, n.k.
 
Intelejensia ya Mwema inacheza na HISIA za watanzania kutaka kuwaaminisha Watanzania kwamba aliyetupa bomu kanisani ni muendesha bodaboda kijana Victor Ambrose.

Wanasahau kwamba FBI pia wapo na upelelezi wao wataupeleka moja kwa moja kwa Baba Mtakatifu Francis I na baadaye utatinga kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambapo Tanzania itakuwa black listed as State sponsored terrorrism. Kama Mwema na Serikali ya CCM wanafikiri wanaweza kuwachezea VATICAN kama walivyotuchezea Watanzania kwenye Sakata la Dr. Ulimboka na kichaa Mkenya Joshua Mlundi, basi serikali ya Kikwete imekula kwake.

Tunataka Kikwete awakamate magaidi wa KWELI waliolipua Kanisa Arusha hata kama watakuwa wa dini yake, kabla nchi yetu haijawa black listed!

Kuna kitu watu hawataki kukubali kuwa VATICAN ni super power behind the Cartain......this happened just two weeks ago na tayari imefika European Union ...na sasa UN...
Response ;- Mashirika yote makubwa ya ujasusi yameshafanya ground work juu ya hilo ..na kutoa taarifa zilizotoesheleza kufikishwa Baraza La Usalama....
CANADA tayari imetuma waziri wake wa mambo ya nje kutembelea eneo la tukio
Waliokufa na watakaoendelea kufa .....wamezikwa shahidi[martyrs].....hii kidini ni nembo ya kuduma ...kama mashahidi wa uganda walivyoitia laana dola ya KABAKA ...Na kupelekea kabaka kuanguka utawala wake na kukimbilia London kuosha vyombo ...na akarudi kwa huruma za Museveni[ili afaidike kisiasa]...na akiwa hana nguvu.

Watu msicheze na damu na maombi ya watu...na kuyafanya kebeki...damu iliomwagika pale na yake Makaburi pale ....ni laana kuu na itaendelea kuitafuna walioshindwa au kushangia haya.....mtakaobisha sintawajibu...kwa sababu historia imedhihirisha haya ninayooandika ..
 
Mbona kauli ya huyu Askofu inapingana na Muhadhama Polycarp Cardinal Pengo ambaye alisema tukio lile halina uhusiano na udini?Mbona taarifa tajwa hapo juu imehimiza sana viongozi wa dini kuwazuia waumini wao huyu mhindi kadanganywa na nani kuwa tukio lile linauhusiano na udini? Hapo kuch kuch amechemsha labda kama analake jambo.
 
KIJANA AMBROSE KATIKISA MPAKA UMOJA WA MATAIFA!! DAH MAKUBWA?

WAWEZA KUTA WAZAZI WAKE NA HATA YEYE WOTE WALIKUWA WAKISALIA KT KANISA ILO, DAH PASUA KICHWA SANA UYU DOGo
Waarabu tulioambiwa walikamatwa kuhusiana na mlipuko wameshaachiwa huru kwa kuwa eti serikali imegundulika kuwa walikuwa nchini kihalali. Mimi nilishindwa kuelewa kuwa walikamatwa kwa walidhaniwa kuwa walikuwa nchini kinyume cha shereia au walikamatwa kwa kudhaniwa kuwa walihusika katika ule mlipuko wa bomu? Je haiwezekani kwa mgeni aliyekuja nchini kwa kufuata sheria kufanya uhalifu kama huo? Tayari ninaona kaubaguzi flani kanauzunguka uchunguzi wa hili tukio na sitegemei kama tutafanikiwa kupata lolote la maana. Cha msingi tuharakishe uchunguzi ili pia Watanzania wote wasiokuwa na hatia ambao wamewasweka rumande kuhusiana na swala hili waachiliwe.
 
Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi, na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake yako Arusha na Afrika!

Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?

Tatizo walio kamatwa sio, alafu Polisi wanapiga siasa sasa Balozi afanyaje? dogo mwendesha bodaboda kakodiwa na mlipuaji alafu polisi wanamgeuzia kibao aliyekodiwa kwenye boda boda
 
Dar es Salaam. Tukio la kutupwa bomu katika Kanisa Katoliki la Joseph Mfanyakazi, Arusha limetua katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) baada ya kuwasilishwa na Balozi wa Vatican UN, Askofu Mkuu Frances Chullikatt.

Askofu Chullikatt anakuwa kiongozi wa kwanza wa Vatican kutoa tamko kuhusiana na shambulizi hilo ambalo mmoja wa viongozi wake alikuwapo.

Bomu hilo lilirushwa katika kanisa hilo wakati likizinduliwa na Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu Francisco Padilla Mei 5, mwaka huu na kusababisha vifo vya watu watatu na kujeruhi zaidi ya 50.

Wakati wa shambulizi hilo, Askofu Padilla na Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha, Josephat Lebulu walionusurika.

Akihutubia Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, New York, Marekani juzi, Askofu Chullikatt alisema tukio lililotokea Arusha linadhihirisha kuwa kuna umuhimu ya kupambana na ugaidi katika Afrika ili kuimarisha amani na usalama wa kimataifa.

"Unahitajika mshikamano na ushirikiano wa pamoja wa mataifa mbalimbali katika kuchukua hatua za maisha na kulinda haki za binadamu," alisema Askofu Chullikatt, ambaye amekuwa mwakilishi wa Vatican kwenye Umoja wa Mataifa tangu mwaka 2010.

Askofu Chullikatt, ambaye ni mzaliwa wa India, alisema suala la ugaidi linahitaji kuzuiwa duniani kote na hasa Afrika kutokana na matukio hayo kuharibu maisha ya binadamu na kutokea katika maeneo wanayofanyia ibada.

Askofu Chullikatt alisema pale ugaidi unapofanyika kwa kutumia dini, waumini na viongozi wao ni lazima wahakikishe wanapambana nao ili kuutokomeza.

Alisema suala la ugaidi linahitaji viongozi wa kisiasa, kijamii na kidini kulilaani kwani ni la kikatili katika maisha ya binadamu hivyo si vyema kukaa kimya suala hilo linapotokea.

Askofu Chullikatt alisema ugaidi unaotokea Afrika unatakiwa kuangaliwa kimataifa ili kuzipa uwezo nchi hizo kupambana na kuzuia matukio hayo.

Naomba kuwakilisha

Kuna mtu kasema Mwakilishi wa Pope ni muhindi ...watu wanasahau kuwa Vatican,...ndio nchi pekee yenye uwakilishi wa dunia nzima .....maaskofu wanaomwakilisha PAPA ni sura ya dunia ....kuna hadi wachina ....VATICAN ni dola linalowakilisha watu 1.5 billion ...chini ya kiongozi mmoja..imani moja.
HAKUNA imani nyingine duniani ambayo imeweza kuwa chini ya kiongozi mmoja na mfumo wa utawala .....kwa idadi hiyo ya watu.

Suala la yule kijana aliyelipua ni kiini macho..hata IGP anakiri "key suspect are on the run" ..yule kijana ameonewa tu ...he is just a poor boda boda driver ....and its so unfortunate that he will have to face the rope!!!
Ndio maana Cardinal kupitia taarifa za uhakika alizokwishapata ..amesisitiza ..ukweli usemwe juu ya hili.......yule kijana alitakiwa awe shahidi wa Jamuhuri pale ambapo washtakiwa halisi wamepatikana ......na hata kama angeendelea kuwekwa ndani ingetakiwa iwe kwa usalama wake ...ili magaidi wasitume watu wamuuwe kuficha ushahidi........Tunadangaywa tu!!
 
waarabu tulioambiwa walikamatwa kuhusiana na mlipuko wameshaachiwa huru kwa kuwa eti serikali imegundulika kuwa walikuwa nchini kihalali. Mimi nilishindwa kuelewa kuwa walikamatwa kwa walidhaniwa kuwa walikuwa nchini kinyume cha shereia au walikamatwa kwa kudhaniwa kuwa walihusika katika ule mlipuko wa bomu? Je haiwezekani kwa mgeni aliyekuja nchini kwa kufuata sheria kufanya uhalifu kama huo? Tayari ninaona kaubaguzi flani kanauzunguka uchunguzi wa hili tukio na sitegemei kama tutafanikiwa kupata lolote la maana. Cha msingi tuharakishe uchunguzi ili pia watanzania wote wasiokuwa na hatia ambao wamewasweka rumande kuhusiana na swala hili waachiliwe.

ni kweli waarabu wameachiwa baada ya balozi wa saudi arabia kugoma kuondoka kituo cha polisi hadi watuhumiwa waachiwe....kwa mkwara mzito!!!

Chama cha wananchi kimeitaka serikali iwaombe radhi maramoja watawala wa saudi arabia kwa kukamata raia wale !!

Inaelekea serikali kama ni kweli itakuwa iliwakamata kwa hisia tu ya asili yao ?
 
Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi, na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake yako Arusha na Afrika!

Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?

Ina maana wewe unatetea na unapongeza tukio hilo au unaumwa !!!!?? Maana sijakuelewa kabisa maana yako .Wewe ulitaka afanye nini ? ashangilie aua apongeze?:yell:
 
Kama hauna cha kuongea kweli kaa kimya kuliko kuongea pumba namna hivyo
 
Hii itausaidia ulimwengu ujue kwamba TANZANIA SII KISIWA CHA AMANI TENA! na kwamba aliyetutoa kwenye hicho kisiwa na kutupeleka motoni ni JK!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom