Bomoabomoa kulikumba jengo la PPF-House Posta?

Uzushi mkubwa.. mwisho ubungo
Tafadhali fafanua tupate kuijua Sheria hiyo Tafadhali..! Kama Sheria ina mabadiliko tunaweza kuwa hatuja iona utatusaidia sana ukitufafanulia ..
 
Ila ukweli mbaya na uongo udanganya siku zote.Kiuhalisia barabara ya kuingia mjini Dsm nifinyo sana kuanzia MLANDIZI.
Kwa wingi wa magari haya na wingi wa watu tunastahili kuwa na barabara pana
Unaonaje kuanzia mlandz ikawa part ya jiji la dsm
 
Watanzania wengi Kusoma tu wavivu sana na twaweza ishia kuishi na matamshi ya wengine
 
Niliwahi kutoa ushauri humu kuwa kwa vile suala la ujenzi holela limekuwa kubwa hapa nchini bora Nchi nzima ibomolewe tuanze upya nadhani hatutarudia makosa.
 
Lakini si imepitishwa na bunge? Mambo mengine tunamlaumu asiyehusika. Cha msingi ni kulibana bunge litunge pia sheria ya fidia.
 
Kama BomoaBomoa Itawaogopa Watu wa POSTA, na Majengo yao, Basi maskini wananchi wengine watakuwa WAMEONEWA KWELIKWELI. Sheria itakuwa unaonea Dagaa.. inaonea wananchi maskini ..!

POSTA ipo Morogoro road?
 
Heeeeee!!! Jengo la magomeni usalama linalojengwa na kampuni ya watumishi housing si bado ata kutumika halijaanza
ndo wanamalizia[emoji3][emoji3][emoji3] yani lile halikwepi X mbele kuna kanisa jipya la KKKT na msikiti. sheli mwafwaa kama kweli wako serious
 
Hizo zinaanzia Ubungo kwenda Kimara na kuendelea mbele huko wala haziekekei katikati ya jiji
 
Tatizo letu kubwa waTz ni kutopenda kusoma au kusumbua akili kidogo. Tafsiri ya hio taarifa ni hii
-Morogoro road itakuwa na road reserve hii(mfano 60) from junction of United nation yaani kuanzia Fire kwenda Morogoro kwa km 10,16,20etc zinapimwa kutoka Askari Monument(yaani usawa wa Samora Avenue).
Yaani kutoka Fire hadi umbali wa km 10 ni 60m...then Fire hadi km 16 ni 90m na kuendelea.

Kwa kifupi road reserve hizo zinaanzia Fire kwenda Morogoro kutoka Fire kwenda Posta hazifanyi kazi.
 
Abomoe na power station ya Ubungo, tutatengeneza Kinyerezi Six
Kwa kasi yake anaweza kuuvunja Mlima Kilimanjaro ili kupisha mradi wa reli ya standard gauge, Miundombinu bila mbinu ni sawa na bure.
 
Ila ukweli mbaya na uongo udanganya siku zote.Kiuhalisia barabara ya kuingia mjini Dsm nifinyo sana kuanzia MLANDIZI.
Kwa wingi wa magari haya na wingi wa watu tunastahili kuwa na barabara pana

Yaani angalau ingeanzia Kibaha 6 line
 
Tatizo letu kubwa waTz ni kutopenda kusoma au kusumbua akili kidogo. Tafsiri ya hio taarifa ni hii
-Morogoro road itakuwa na road reserve hii(mfano 60) from junction of United nation yaani kuanzia Fire kwenda Morogoro kwa km 10,16,20etc zinapimwa kutoka Askari Monument(yaani usawa wa Samora Avenue).
Yaani kutoka Fire hadi umbali wa km 10 ni 60m...then Fire hadi km 16 ni 90m na kuendelea.

Kwa kifupi road reserve hizo zinaanzia Fire kwenda Morogoro kutoka Fire kwenda Posta hazifanyi kazi.
Nimekuelewa mkuu

Kwamba Morogoro road inapimwa urefu kuanzia Posta ila sheria ya hifadhi ya barabarabara inaanzia pale Fire !!!!!
 
Watanzania wengi Kusoma tu wavivu sana na twaweza ishia kuishi na matamshi ya wengine
Na Mwisho wa Siku Tunabakia Kulalama asubuhi hadi Usiku. Kila kitu tunaamini ni Kwa Ubaya Au Politik, nimeweka hapa Sheria hiyo ya hifadhi ya Barabara watu wanaccomment VuruVuru -

Embu Isomeni vizuri , http://mwtc.go.tz/uploads/publications/en1493707553-THE ROADS MANAGEMENT REGULATIONS, 2009.pdf
Tatizo letu kubwa waTz ni kutopenda kusoma au kusumbua akili kidogo. Tafsiri ya hio taarifa ni hii
-Morogoro road itakuwa na road reserve hii(mfano 60) from junction of United nation yaani kuanzia Fire kwenda Morogoro kwa km 10,16,20etc zinapimwa kutoka Askari Monument(yaani usawa wa Samora Avenue).
Yaani kutoka Fire hadi umbali wa km 10 ni 60m...then Fire hadi km 16 ni 90m na kuendelea.

Kwa kifupi road reserve hizo zinaanzia Fire kwenda Morogoro kutoka Fire kwenda Posta hazifanyi kazi.

Unaweza kuwa unapenda kusoma ila HUELEWI ULICHOSOMA.
 
Back
Top Bottom