Bomoabomoa kulikumba jengo la PPF-House Posta?

Wa mikoani bhana, sasa askari monument kuelekea umoja wa mataifa road ndo barabara gani hiyo??
 
Hivi kwanini waiibomoE daslam yote ibaki barabara tu ili magari yawe yanapita vizuri...........
 
Mwachieni linchi lake alibomoe atakavyo, atakapomaliza mda wake tutajenga tena.
 
Toka ameingia amebomoa vingi kuliko alivyojenga ( chato international airport) [emoji23]
 
Unaweza kuwa unapenda kusoma ila HUELEWI ULICHOSOMA.
Kwa Hiyo Msikiti wa Mwembechai Ndio Kwaheri Sio! Aisee! Maghorofa yote ya Magomeni chini!, Kanisa la KKKT Mviringo Chini! Pale Kwa Wasabato napo Chini!! Aisee, maskini Ofisi za Mrema TLP nazo Kwaheri! Du! Kweli Sheria Msumeno embo ngojea tuone unavyo katakata..!
 
Wewe vipi? Angalia mita ngapi kwanza sio unaropoka tu.
 
Sielewi kwanini povu linakumwagika kwenye inshu ya kueleza tu.. mita 60 Kila upande gives 120 road width. Una Jingine! Au una Mita zako unataka kuzipunguzia!
 
Im wasting my time. Bye.
 
Im wasting my time. Bye.
Ushachemsha umeona uelekeo! Ungeingia mtego tu ambao Najua Ndio lengo lako ungejikaanga Jumla. Umepaona ukaona uingie mitimi.. pagumu mno hapo Mdugu! Mchezo huu ulishaanzwa kuchezwa kimakosa, ni bora kuendelea na makosa hayo hayo mita 120, 180, 240
 
Upeo wako mdogo. Huwezi hata kutafsiri simple plain English.
 
Ni Kweli Upeo Wangu Unaweza kuwa mdogo si ndio maana Nikaleta Mjadala pale wajinga tupate Kuelimishwa. MANAKE maeneo ya kimara kwenda kibaha tayari upana wa barabara ni mita 120 Kila upande gives 240m, Ubungo -Kimara 180 (90 Kila Upande) Haya Karibu mwenye akili fafanua basi usijigongegonge hapa sio Ukweni Bana.. ongea funguka.. Au poteza kazi!!!
 
Back
Top Bottom