Bomoabomoa Dar yatua rasmi Temeke - Keko wapewa notisi...

2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.

Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.

Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.
Sasa hivi wanatembelea Akili za Le Mutuz hawajui kuna leo na kesho wanadhani Watanzania bado ni wepesi wa kusahau
 
Maelekezo waliyopewa ni kuhakikisha wale wote waliojenga mabondeni , kwenye viwanja vya wazi , juu ya bomba kubwa la majitaka wanaobomoa nyumba zao kabla ya tarehe 5 january , hii notisi imebandikwa jana na imesainiwa na mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ( nimeiona )
wahanga ni pamoja na waliojenga nyuma ya gereza la keko , keko mwanga , keko machungwa hasa wale waliojenga kandokando ya mfereji wa maji unaoanzia kota za polisi maarufu kama mchomba line , wakazi wa keko juu nao hawajasahaulika hasa walio chini ya kisiwani bar , tuendelee kutega sikio .
Keko mwanga,keko akida,keko machungwa duh!
 
watanganyika nyny ni wanafiki na watu wa ajabu kabisa, akili zenu nyny ata kuku ana astaghafiru, nakuambia 2020 hayo yote mtayasahau na ccm itashinda kwa asilimia 90%. ccm yenyewe imeshawasoma na ndo mana ina kiburi cha kufanya yote hayo
Hebu na wewe tulia huko. Unajifanya mjanja wakati CCM inachukua zenji kama kawa na mtakubali Tu.
 
Kuna taarifa kwamba matangazo yalibandikwa kwa style ya alqaeda ( yote yalibandikwa kwa dakika moja tu ) na wabandikaji kutoka nduki mshale una nafuu !
 
Pale ndo wajanja wanajificha lunch time haziwezi kuvunjwa. Nje nyumba za hovyo, ndani kuna furniture za bei ghali.
pale mkuu hata kuwe na jua kias gani lkn bonde lile lazma utakuta "nyekenyeke" ya maji machafu
 
2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.

Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.

Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.
Mkuu bora kura wakose lakini nchi iwe na discipline. Kuendekeza kura za watu wasiofuata sheria ndiyo chanzo cha matatizo. Leo kuna watu wamerejea Jangwani eti wanasema hawana pa kwenda baada ya kubomolewa na mtu anasema LIVE mie siondoki najiandaa kufia hapa tarehe tano!!! Huu si utani kwa serikali.
 
Maelekezo waliyopewa ni kuhakikisha wale wote waliojenga mabondeni , kwenye viwanja vya wazi , juu ya bomba kubwa la majitaka wanaobomoa nyumba zao kabla ya tarehe 5 january , hii notisi imebandikwa jana na imesainiwa na mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ( nimeiona )
wahanga ni pamoja na waliojenga nyuma ya gereza la keko , keko mwanga , keko machungwa hasa wale waliojenga kandokando ya mfereji wa maji unaoanzia kota za polisi maarufu kama mchomba line , wakazi wa keko juu nao hawajasahaulika hasa walio chini ya kisiwani bar , tuendelee kutega sikio .
kama ni kweli huu ndio wakati wa kusoma number mana mliambiwa na bwana chekacheka kuwa anakuja mkali, hapa utawala wa shera tu, hakuna namna nyingine ya kuwanusuru.
 
Hebu na wewe tulia huko. Unajifanya mjanja wakati CCM inachukua zenji kama kawa na mtakubali Tu.
afadhali ya sisi tunaikataa kwa vitendo, wanachukua kwa mabavu lkn nyny inawanyanyasa mnailani na kuitukana ikifika wakati wa uchaguzi mnaichagua, kuna ujinga wa mwisho zaid ya huo?
 
Sasa hivi wanatembelea Akili za Le Mutuz hawajui kuna leo na kesho wanadhani Watanzania bado ni wepesi wa kusahau
tena nyny ni wepesi wa kusahau zaid ya kuku, sikutarajia kwa ishu ile ya escrow kama watanganyka mungeirejesha ccm madarakani, duh nyny ni wanafiki sijapata kuona
 
🙁Nina wasiwasi na nyumba ya Rafiki​
Sipirian Mapunda
Kama itasalamika maana bomba limepita upenuni kabsaa.
 
upumbavu gani sasa wanaowafanyia lakini?Huu mpango wa kubomoa wanao kitambo sasa wangetoa notisi hata mwezi kabla ili mtu ajipange pa kwenda na ikiwezekana abomoe mwenyewe atoe vitu vyake vya muhimu?
sasa notisi wamebendika jana tr 2 inamaana wanawapa siku mbili tu? sio fair!!!
Magufuli hana utani na wabongo.
 
afadhali ya sisi tunaikataa kwa vitendo, wanachukua kwa mabavu lkn nyny inawanyanyasa mnailani na kuitukana ikifika wakati wa uchaguzi mnaichagua, kuna ujinga wa mwisho zaid ya huo?
Ujinga ni nyie kudhani bara wanachukia CCM kisa wana UKAWA fulani wanajua kupiga kelele. CCM bado inapendwa na hata hapo unguja bado ina mizizi. Sema tu round hii inaonekana kila mtu alipiga kura huko Pemba hata ambao hawapo kwenye daftari la kupiga kura. Subiri uone maajabu round 2 tuone kama utasema sheikh.
 
sasa kama mnaipenda mnalalamika nini, tulieni dawa iwaingie pumbav zenu
 
2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.

Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.

Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.

Kwa ujumla kuna sababu ya kufanya clean up ya jiji la Dar Es Salaam sababu mambo mengi yanaenda kinyume na mipangilio ya majiji makubwa. Kinachokera ni uvamizi wa maeneo ya wazi kwa kutumia nguvu ya pesa....ila hao wengine nawaonea huruma maana sijui kama watapata fidia

By the way Dar si iko upinzani? Ili irudi CCM lazima mambo yanyooshwe
 
Back
Top Bottom