Bomoa bomoa yafanyika Mbezi, wananchi walalamika kutopewa taarifa

Moja kati ya mambo ya kuzingatia katika kujenga ni kuomba kibali cha kujenga na kuangalia ramani za mipango miji maana unaweza kujenga wakakuambia ramani inaonyesha umejenga ndani ya eneo la shule au hospital..... Je aliyejenga alivizingatia hivi?

Pale mbez nakumbuka vizuri walipewa notice ya kubomoa, wengi wao walibomoa wenyewe kwa hiyo wasilalamike juu ya hilo.

Swali linakuja, ulipokuwa unapanga kwenye hilo eneo hukujua?

Vile vile kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu, wafanyabiashara wamekuwa wakilalamika biashara kuwa ngumu.... Polisi, kwa nn wasingetoa hata notice ya siku moja watu wahamishe vitu vyao? Je kama wangekuwa ni ndugu zao wangebomoa? Sure inauma sana
 
Tuna uongozi katili sana, kama wangetangaza hata siku moja kabla halafu wahusika wakakaidi ningewaelewa, lakini 2006 hadi leo!!!!
Magufuli angalia uonevu huu, ninalaani jambo hili sana
 
Wakorofi mtalia sana awamu hii
 
TB joshua alikuja tanzania akiwa peku,kibiblia hizi ni sehemu ya ishara ya kuonyesha mwenyezi mungu kuchukizwa.

tumeona matetemeko bukoba,tunaona mvua zimegoma,uchumi umerudi miaka 20 nyuma
 
Tuna uongozi katili sana, kama wangetangaza hata siku moja kabla halafu wahusika wakakaidi ningewaelewa, lakini 2006 hadi leo!!!!
Magufuli angalia uonevu huu, ninalaani jambo hili sana
Huna akili tu mkuu. Mnapewa taarifa mnadharau. Sasa hiyo ndio faida ya ukaidi wenu
 
TB joshua alikuja tanzania akiwa peku,kibiblia hizi ni sehemu ya ishara ya kuonyesha mwenyezi mungu kuchukizwa.

tumeona matetemeko bukoba,tunaona mvua zimegoma,uchumi umerudi miaka 20 nyuma
Hatuwezi kuacha Nchi iharibike hata siku moja. Wote mliovamia maeneo ya barabara na mengine yote ya public mtasaga meno
 
Aliyechaguliwa na kujiita mtetezi wa wanyonge yupo wapi leo? ninaona giza huko mbele tunapoelekea wafanya biashara wapo mguu nje mguu ndani utumishi wa uma umekuwa kama kaa la moto hiii hatari kwakweli
 
Huyu ni rais wa kusimamia haki usawa na sheria. Ukiambiwa kitu na unajifanya mkaidi lazima ushughulikiwe
 
Back
Top Bottom