Bomoa Bomoa jijini Kigali.

Bomoa Bomoa jijini Kigali.

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,046
Reaction score
5,973
Nyumba zipatazo 1,400(Elfu moja mia nne), zimeanza kuvunjwa, kwa amri ya uongozi wa jiiji la Kigali.

Nyumba hizi zinazovunjwa, inasemekana zilijengwa pasipo kufuata taratibu. Cha kushanhaza, wenye nyumba wana hati miliki, na hiyo hutolewa na uongozi. Wanaovunjiwa, waliambiwa hawakujenga kufuatana na vibali walivyopewa, ikisemekana wapo walioomba kujenga fensi, wakajenga nyumba. Wengine kujenga vyoo na majiko, wao wakafanya marekebisho ya nyumba kubwa.

Wengine pia, huambiwa wapo katika maeneo hatarishi.

Katika zoezi hili, kila familia hupewa pesa ya kodi ya muda wa miezi 3, na haijalishi ulikuwa na nyumba za kupangisha au ni wewe mwenyewe. Familia zinazopewa hela, ni wenye nyumba si wapangaji.



1750845092594.jpeg
 
Ardhi ya kule
Serikali ipime maeneo na iwape hao wahanga
unadhani mchezo! Ardhi ya kule noma. Japokuwa inajenga majengo makubwa ya pamoja,kwa hiyo aliyekuwa na nyumba za kupanga, hana namna. Hupata tu moja ya kukaa, isiyozidi vyumba 3 na sebure, basi. Hiyo ndo huwa fidia.
 
Back
Top Bottom