The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,684
Naomba kuuliza ni lini mtaanza kubomoa maeneo ya huku katika mwambao wa bahati ya hindi, kuanzia Girrafe hotel hadi white sand hotel? Huku sehemu ambayo raia wa sala sala na kwingineko wanaweza kufikia maji ya bahari bure ni sehemu moja tuu tena ni plot ya Diamond Motors ltd, nao wakija kujebga sijui hawa wananchi kama watapata kufurahia hii fukwe manana
Naombeni mje kubomoa msionee masikini tuu
Naombeni mje kubomoa msionee masikini tuu