Habarini za mchana, wale wa mororgoro road kuanzia stop over na waliondani ya mt 90 za barabara rejeeni nyumbani huku wameanza kubomoa
Walikosea serikali ya Dar kuiweka chadema, sasa serikali kuu inafanya kaziBora Kukosea Kuoa Mke Ila Siyo Kukosea Kwenye Uchaguzi By Jpm
Bora Kukosea Kuoa Mke Ila Siyo Kukosea Kwenye Uchaguzi By Jpm
Pichayanini kaokoe nduguzakoPicha wajameni..
Sent by Ubavu
Lowasa atazijenga upya katikati ya barabara kabisa. Kweli tungoje kidogo tu.
Kweli mkuu.Poleni wahanga
Ila kama mlilipwa mkakaidi hakuna namna
Habari yako mkuuKweli mkuu.