sasa alama ya vidole inasaidia nini kama hakuna database?..labda tusubiri hivyo vitambulisho vya taifa ili wachukue fingerprint za raia wote ziwe kwenye database ndo tutaweza kamata wahalifu kwa ushahidi wa fingerprint.
mkuu kajifunze Kiswahili kwanza kabla ya kutaka kubishanaWewe unataka uchunguzi upi kama huu hutaki kuamini pengine wewe na chama chako mmehusika kwenye hilo bom make taarifa za vyombo vyombo vya kiuchunguzi unapingana navyo.
Heee tulikurupuka?
ndugu zangu wanajamvi kwanza tujipeni pole kwa janga lililotukuta majuzi kanisani Arusha kwa kuwapoteza ndugu zetu pamoja na wengine kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili.Sasa niongelee hii aibu iliyolikumba taifa kwa ujumla wake, Polisi wetu ambao wanalipwa pesa kutokana na kodi zetu wamekuwa wazembe kupindukia kwa kufanya kazi kwa kukurupuka, kukamata watu bila ya kuwa na weledi wa wanachokifanya na kututangazia kwenye vyombo vya habari wamewakamata waarabu .leo wamewachia je?hiyo si aibu kwetu
Basi uchunguzi utakuwa umekamilika, watoe majibu hadharani.
Kama haujakamilika, why so soon?
Sina utaalam wa sheria, lakini nami naona kama wanakimbizana na vivuli vyao wenyewe? Kwa hiyo bwana Victor alitengeneza bomu lake mwenyewe? Kama sivyo alilitoa wapi? Mbona nahisi kama kesi ina msururu mkubwa wa wahusika lakini wanamkimbiza Victor mwenyewe? Na utaalam wa kipolisi umeshindwa kumbana 'a 21 years old boy' kutaja washirika wake? Sababu za dogo kurusha bomu zimejulikana kuwa alitaka kutuma ujumbe gani?
Anyways, labda sisi ndio tuna haraka, kwani yatawakilishwa yote mahakamani....
He he he, kumbe hujui?
Ukute aliye nyuma ya pazia ni mzito sana, wameshindwa kumtaja au keshawapiga biti
Huyu ambrose mwenyewe wanashindwa mhukumu maana wanajua hana hatia, labda alibeba abiria wake wa boda boda kama mteja wa kawaida, so ?????????
kwa nini wana chadema wanatokwa mapovu
Kwa kweli am speechless na utaalam wa askari wetu, wawe basi hata wana sessions za kuangalia episodes za CRIME, zinaweza kuwasaidia kukopi vichache, kama sio kukrem.
Kwani Ambrose alibeba abiria aliyerusha guruneti au yeye ndio alijitoa ufahamu wa kulirusha hilo guruneti?
Alibeba abiria aliyerusha gurunet
Na abiria akakimbia bila kulipa
Hawana haja ya kuangalia chochote, unadhani hawajui aliyefanya? au kwamba hawana guts za kumtaja?
Mbona 1998 waliwapata waliolipua ubalozi wa marekani kwa muda mchache tu?
He he he, director wa hii episode hajaruhusu kutaja
Wamejipachika kujifanya watetezi wa wakristo kama Ponda kwa waislam.kwa sababu mtendaji mkuu ni Padre.
Watanzania wote wenye passport fingerprints zao ziko katika database ya Uhamiaji, aidha wageni wote wanaoingia kihalali pia fingerprints zao ziko katika database ya Uhamiaji!sasa alama ya vidole inasaidia nini kama hakuna database?..labda tusubiri hivyo vitambulisho vya taifa ili wachukue fingerprint za raia wote ziwe kwenye database ndo tutaweza kamata wahalifu kwa ushahidi wa fingerprint.
kijana mkristo tena mchaga kalipua bomu. chadema wangetaka awe muislamu ili walete ajenda ya udini.
mapovu yanawatoka kuona hakuna udini.
Kuliko tuharibu urafiki na waarabu tuwapendao, bora watanzania wafe tu.Sounds as if the release is a pressure from outside rather than a confidence from inside
Watanzania wote wenye passport fingerprints zao ziko katika database ya Uhamiaji, aidha wageni wote wanaoingia kihalali pia fingerprints zao ziko katika database ya Uhamiaji!
Hivyo kwa kuchukua fingerprints katika pikipiki aliyopanda huyo gaidi wangeweza kubaini mara moja kuwa waarabu wale hawana hatia na wangeachiwa mara moja kuliko ambavyo hivi sasa wamedhalilishwa katika mahabusu zetu chafu!
If the data are correct, then that is the most glorified city on earth as they are less than 5000 in population and everybody repents before God everyday!With 1.5 crimes per citizen, Vatican City has the highest crime rate in the world.