Bombardier vs Kilimanjaro express vs Shabiby

WaTanzania uzalendo wetu umeporomoka kiasi hiki?kiasi cha kulinganisha ndege na basi!Au ni utani? Bombardier hii ingekua ya nchi nyingine tungeisifu kwa nyimbo na mapambio.Ni nani aliyetutoga?

TheSoA WaTanzania wazalendo wako wengi saaaana tu labda wachache tuko JF.Halafu WaTanzania haturogeki:nimisemo Au hadithi za Abunuasi tu.
 
Panda Kilimanjaro full ac, DVD, soda, maji ya Kilimanjaro, biscuits n.k. Kwani bombardier INA DVD? Na juice wanatoa?
 
WaTanzania uzalendo wetu umeporomoka kiasi hiki?kiasi cha kulinganisha ndege na basi!Au ni utani? Bombardier hii ingekua ya nchi nyingine tungeisifu kwa nyimbo na mapambio.Ni nani aliyetutoga?
Uzalendo upi? Kwani nikiisifia bombardier na kuiponda Yutong ndio nitakuwa MZALENDO? Au ni uzalendo upi unaomaanisha wewe labda?
Labda nilifikiri uzalendo wa kusifia vitu tulivyovitengeneza wenyewe mfano ile migari ya Nyumbu nk. Kumbe unamaanisha uzalendo wa kuisifia bombardier..!! Looh! Dunia hii jamani[emoji87]
 
Hoja si kuisifia bombardier my dearest comrade.Hoja yangu ni kwamba in my humble opinion,kuilonganisha ndege ya shirika letu na bus ni kujaribu kuonesha kwamba ndege hii si kitu si lolote.In my view,we are called upon to call it what it is:Unafiki.Ndugu zangu, we shouldnt look at everything kwa macho ya kisiasa.As a result tunashindwa kuwa objective
 
Ningekushauri upande Kilimanjaro. Kwanza, unaitangaza Tz kuwa ina mlima wetu pendwa ambao Kenya wanasema atii ni wa kwawo. Pili, Kutembea huko angani aisee, si kama tress passing mkuu?? Unaenda kumkonyeza Maulana huko uani kwake. Sijui, naogopa yasije tokea yale ya Malaisia Air walivyo muudhi wakapotelea kwake hadi leo hakuna aliyewaona tena.
 
Mkuu mpaka hivi sasa, usafiri wa ndege Ndio usafiri salama kuliko aina nyingine zote za usafiri....
 
Umeshinda wewe mkuu!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nimekuelewa ila haya mabasi ya kisasa luxury ni habari ingine siyo yale mtwangio ni bora kuliko viti vya bombadier
 
Mkuu mpaka hivi sasa, usafiri wa ndege Ndio usafiri salama kuliko aina nyingine zote za usafiri....

So Sorry, Nakuambia, hakuna usafiri wowote ule ulio salama kabisaaa. Hukusikia kuwa ndege za abiria zilitumika kuangusha jumba refu kuliko yoote duniani?? Hukusikia dege la Malasia Air lilipotelea angani hadi leo hata kipande chake hakijaonekana?? Hata mwenda kwa miguu hujikwaa kitole akapoteza ukucha. Ukisafiri hata kwa bodaboda mshukuru Mungu urudipo salama, sio ulinzi mathubuti wa chombo.
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…