MrProsecutor
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 280
- 275
- Thread starter
- #21
Kwani haipiti anga la Biharamulo??Huyo yupo huko biharamulo au bombardier imetokea Rwanda??
Kwani haipiti anga la Biharamulo??Huyo yupo huko biharamulo au bombardier imetokea Rwanda??
Nataka niione tu Mkuu mana nna ham nayo, naombea nauli ya Znz iwe rahis nipate kuikweaaaaaaUchochezi wako huu unauliza kitu kama unawashwa washwa
Imepata pancha angani pia panga boi moja limekatika na kuangukia kunako bahariHabar wakuu,
Leo ndo tarehe 2/4/2018 Je Q400 yetu imeshafika??? Anaejua jamani.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahah amna uchochezi mkuu mbona ndo sa 6 hii inaendelea. Pia ndege inakuaga panctual sio kama gari