Bombadia yetu inatua lini?

Bombadia yetu inatua lini?

trplmike

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
701
Reaction score
798
tumesahau kabisa issue ya Bombadia yetu kukamatwa huko Ughaibuni
kwa wenye taarifa inatua lini? Je serikali imeshindwa kuwalipa wadaiwa wetu?
Mbona taarifa ambazo tulikuwa nazo wanasema walikuwa kwenye hatua za mwisho ya mazungumzo?
Mazungumzo yali fail? Mbona serikali imekaa kimya?
Serikali tuambie Bombadia yetu inatua lini? Ni kodi zetu tuna haki ya kujua kinachoendelea
 
AMRI: Siro mpimeni mkojo ASAP.
 
TUNDU LISSU ameisalimisha kwa MABEBERU.... Roho yake ipo KWATU...Tutamkumbusha 2020...yeye na CHADEMA wote...
 
bombadia yetu inatua lini? siku mtakapolipa deni.. simple & clear😀
 
Wabongo hamsahau vitu aisee.

Mimi bado naisubiri Noah yangu ya Makinikia
 
Onhooo...

Mkuu huogopi kuhoji hili!??!

Hili ndio limemletea kamanda wetu shida......
 
Ushauri was bure ndugu mtoa mada. Wasiojulikana wako mafichoni usituletee balaa usababishe watoke huko mafichoni
 
tumesahau kabisa issue ya Bombadia yetu kukamatwa huko Ughaibuni
kwa wenye taarifa inatua lini? Je serikali imeshindwa kuwalipa wadaiwa wetu?
Mbona taarifa ambazo tulikuwa nazo wanasema walikuwa kwenye hatua za mwisho ya mazungumzo?
Mazungumzo yali fail? Mbona serikali imekaa kimya?
Serikali tuambie Bombadia yetu inatua lini? Ni kodi zetu tuna haki ya kujua kinachoendelea
Kamuulize lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom