bomba7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bomba7

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by paty, Jun 13, 2012.

 1. paty

  paty JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,257
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  heshima yenu wanajamvi.

  nlikuwa nikitumia hii huduma ya bomba saba kwa kipindi kirefu kidogo,il juzi nimejaribu kujiunga imegoma kabisa, msaada tafadhari mwenye kujua lolote kuhusu hii huduma?? bado ipo . au wamebadilisha charges zao

  mwenye kufahamu lolote tafadhari
   
 2. SamJet

  SamJet Senior Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 165
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  juzi hiyohiyo na mimi nime recharge na kujiunga ila cha kushangaza WAMEKATA HELA NA NO CONNECTION INATOKEA, nimepiga VODA na TECHNICAL TEAM walishughulikia wakasolve. Nakushauri piga 101
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,795
  Likes Received: 7,118
  Trophy Points: 280
  huduma ipo sema voda walikua na matatizo kwenye mitambo yao. Juzi nilikua ofisin kwao kulikua na watu wengi wenye matatizo kama yako. Nakishauri piga hiyo namba 101(kama unajua kingeleza) au piga 100 kwa kiswahili.

  Pia unaweza kwenda ofisin kwao kwa msaada zaidi
   
 4. paty

  paty JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,257
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  asante wakuu, asante sana ,
   
Loading...