Hii ni tasisi iliyompa slaa upadri wala haina chochote pumzisha akili yako tu acha kusumbuka.
Simiyu, daima jaribu kuficha ujuha wako. Tuthibitishie pasipo shaka kuwa taasisi hii kongwe ya kijerumani iliwahi kutoa hata ubatizo, achilia mbali upadri. Jenga hoja, sio kutoa mapovu tuHii ni tasisi iliyompa slaa upadri wala haina chochote pumzisha akili yako tu acha kusumbuka.
Mkuu, hii taarifa imeandikwa hapa Tanzania na miongoni mwa waliohusika kuiandaa ni Dr Slaa na John Mnyika. hapo inapoonekana imekuwa edited karibu mara 10 from original copy. original copy ilipopelekwa makao makuu ujerumani yalitolewa mapendekezo kadhaa kwa vile ya mwanzo iliandikwa kishabiki sana. baadhi ya washauri wao wakawaambia kuwa kwa jinsi ilivyo na kama itawekwa kwenye public, ni wazi kuwa Konrad wataonekana kuwa wamehusika na tukio la Arusha. Aidha, walikubaliana kuwa baada ya marekebisho, taarifa hiyo iwekwe kwanza humu JF na baadaye kwenye mitandao mingine hususan CHADEMA blog ili ionekane kuwa chadema hawahusiki na taarifa hiyo.
mkuu, si ipo ujerumani
tu bali wana ofisi hapa Dar es salaam na ndo wafadhili wakubwa wa
chadema. usitegemee kuwa wataandika taarifa za kuisafisha serikali na
kuichafua chadema
Hii ni tasisi iliyompa slaa upadri wala haina chochote pumzisha akili yako tu acha kusumbuka.
Mbona unakuwa mkali sana mkuu! Matusi makubwa watutukana! Sasa kutuambia sisi Serukamba maana yake nini?Watanzania ujinga wetu ndo tatizo.
Sasa hapa sijaona uongo kwenye ripoti hii.
Kama tunafuatilia mambo yanayotokea katika Nchi yetu bila jicho la kichama tungepiga hatua kushugulikia matatizo yanayoikabilo Taifa letu.
Hapa naona kila mmoja anajaribu kuchangia kwa akili za kichama.
Jamani hivi vyama siyo issue..
Ukiweka maslahi ya chama mbele maana yake unakuwa biased na kamwe huwezi kutoa mchango wa kusaidia Taifa.
Wanaoleta mambo ya CCM na Chadema wote ni pinda tu..serukamba nyie!!!
wewe umeshaona taasisi ipo ujerumani alikopewa slaa upa upadri kwa hiyo unategemea nini na hawa ni mashabiki wa chadema kwa mda mrefu
kimombo kinamsumbua huyo dada yetu. au labda JOTO!!!!!umemaliza kusoma taarifa hiyo au kimombo kinakusumbua mpaka unakosa cha kuongea
ACHA UTOTO bwana!! usilete u-TUNDU wako wa kizamani.Mbona unakuwa mkali sana mkuu! Matusi makubwa watutukana! Sasa kutuambia sisi Serukamba maana yake nini?
Ma_sa_bu_ri yako kabisa!

Mkuu, ujinga huo ni upi? Au huoni alichoandika huyu jamaa ndo ujinga?sasahivi..itavamia mijitu kuja kutetea ujinga.
Hii ni social forum ya kila mtu na kila kitu kila wakati. Kama mnakerwa nendeni Michuzi au FBHivi chadema mtaacha lini kuleta habari za kizushi humu JF?