Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,788
- 4,245
Hivyo vyote ulivyotaja Mkuu mwisho wa siku vinasimama na umma (the voice of the majority ). Siyo vya kutegemea sana kukubakisha madarakani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe sababu kubwa ni Membe hivi magufuli zimwo kweli unamuogopa membe ili iweje kwa mfano wakati una kila kitu? wewe ni rais, majeshi polisi TISS yote yako chama pia wewe ni mwenyekiti si umfukuze membe uwanachama?
Sent using Jamii Forums mobile app