Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Wapiganaji wa kundi la Boko Haram wamewateka nyara wanawake 16 katika eneo la mashambani kaskazini mashariki mwa jimbo la Adamawa huko Sabon Garin Madagali Nigeria.
Wakaazi wanasema kuwa wanawake hao walitekwa msituni walipokuwa wakitafuta kuni na kuvua samaki katika mto chini ya ulinzi wa vijana wawili wa kuweka usalama wanaolisaidia jeshi dhidi ya wapiganaji hao.
Source: BBC Swahili
UPDATE
==================
Jeshi la Nigeria limefanikiwa kuwaokoa wote