Kundi la waasi la Boko haramu limewateka wasichana wengine nane jirani na ngome yao Kaskazini mwa Nigeria, polisi wasema leo.
Baada ya 200 tuliosoma asubuhi, wengine wanane? kwa hiyo jumla ni 208?
Au siyo?
ndyo umefurahi sna eeee!
Yes, nimefurahi sana kwani wamepata mtaji, asubuhi si mlisema wanawauza? Fikiri, asubuhi ukiwa na bidhaa 200 mchana zikawa 208, si la kufurahia hilo?
Yes, nimefurahi sana kwani wamepata mtaji, asubuhi si mlisema wanawauza? Fikiri, asubuhi ukiwa na bidhaa 200 mchana zikawa 208, si la kufurahia hilo?
Duh! Wewe ni binadamu kweli au jini? This is simply satanic!Yes, nimefurahi sana kwani wamepata mtaji, asubuhi si mlisema wanawauza? Fikiri, asubuhi ukiwa na bidhaa 200 mchana zikawa 208, si la kufurahia hilo?
Yes, nimefurahi sana kwani wamepata mtaji, asubuhi si mlisema wanawauza? Fikiri, asubuhi ukiwa na bidhaa 200 mchana zikawa 208, si la kufurahia hilo?
Hata sielewi maana sijui nini unaongea, umeambiwa waliotekwa wamekosa nini? dhambi hii inakufuata hapo ulipoYes, nimefurahi sana kwani wamepata mtaji, asubuhi si mlisema wanawauza? Fikiri, asubuhi ukiwa na bidhaa 200 mchana zikawa 208, si la kufurahia hilo?
Allah kasema tuwauze wanawake hawatakiwi kusoma kwa mjibu wa mtumishi wake Abubakar shakau