Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Wewe Faiza Foxy sidhani kama kuna uhusiano hapa. Huko Kano na Maiduguri hawa Boko Haram hivi sasa hawachagui mtu, kwa hiyo wanaokumbwa na mikasa ni wote; yaani Waislamu na Wakristo!Inanikumbusha Biafra, wakatoliki waliuwa sana na Nyerere akiwa support walipotaka wamegewe kipande chao.
Inanikumbusha Biafra, wakatoliki waliuwa sana na Nyerere akiwa support walipotaka wamegewe kipande chao.
yeah.... itakukumbusha pia alkaida, walipoua wamama na watoto wasio na kosa wala uhusiano wowote na uterrorism
Wewe Faiza Foxy sidhani kama kuna uhusiano hapa. Huko Kano na Maiduguri hawa Boko Haram hivi sasa hawachagui mtu, kwa hiyo wanaokumbwa na mikasa ni wote; yaani Waislamu na Wakristo!
Inanikumbusha Biafra, wakatoliki waliuwa sana na Nyerere akiwa support walipotaka wamegewe kipande chao.
Mkuu FaizaFoxy, unaunga mkono bokoharam kwa kuwa Nyerere aliunga mkono Biafra? au ndio zile akili za mwanabodi Malaria Sugu.
FF, I'm just glad I am not you. I bet you ar glad you ar not me!
Move ya Tanzania mnaianza lini? Ama tz hamtaki kipande chenu mjitawale?
Leo wanakwenda kujaribisha ndanda secondary angalia jinsi polisi watakavyojibu itatoa majibu ya kipande chao cha pemba.
FF, I'm just glad I am not you. I bet you ar glad you ar not me!
Move ya Tanzania mnaianza lini? Ama tz hamtaki kipande chenu mjitawale?
Tuliza manyanga mwan'etu. Nilishakuonya kabla kwamba kiumri hutakuja kunifikia hata siku moja. Danganyana na vijana, na sio wazee. Tunazungumzia Boko Haram na sio Biafra!Nini kibaya nilichokisema hapo? Kwani uongo? Kama haukuwepo kaa kimya na uuulize waliokuwepo.
Some things are better kept at heart. Hold your cards so close to your heart.....Tanzania ni nchi ya amani na sioni tatizo zaidi ya vidonda vilivyoachwa kwa kuminywa haki zetu, lakini tunaona kuwa vidonda vinaanza kupunguwa na tunatumai kuwa baada ya muda si mrefu yatabaki makovu.Siku zote wapigania haki huitwa magaidi, hata Mandela aliitwa gaidi na akahukumiwa kifungo cha maisha. Jee, ni kweli alikuwa Gaidi? Laiti mngejuwa jinsi watu wanavyonyimwa haki zao huko Nigeria, nadhani wote mngekuwa upande wao. Lakini ni nani ataweza propaganda za "crusade"?Leo Iraq, tuliaminishwa wana silaha za maangamizi, ziko wapi mpaka leo? lakini wanaouwa watoto, wazee, na kuikalia nchi yao na kuweka vikaragosi wanavyovitaka na kujichotea mali kiholela wanaonekana ni mashujaa, na wale wenye nchi wanaoonewa wamegeuzwa kuwa ndio maadui. Haki iko wapi?Boko Haram, maana yake ni kupinga kuibiwa na kudanganywa na wageni na wale vikaragosi wao. Sasa kama wapo wanaotaka kuendelea kuwachia mali zikichotwaa, basi watupe kipande chetu na wao wabaki na hao wawapendao. Hao ndio Boko Haram.Hatutoacha kuwa na wale wenye kudai haki zao kwa yakini.
Bado muda kidogo tuu ! Wagala mmezidi kiburi na dharau na ufisadi ! Wakati huo ndio mtajua nini maana ya neno 'Boko Haram'FF, I'm just glad I am not you. I bet you ar glad you ar not me!
Move ya Tanzania mnaianza lini? Ama tz hamtaki kipande chenu mjitawale?
Some things are better kept at heart. Hold your cards so close to your heart.....
Tuliza manyanga mwan'etu. Nilishakuonya kabla kwamba kiumri hutakuja kunifikia hata siku moja. Danganyana na vijana, na sio wazee. Tunazungumzia Boko Haram na sio Biafra!
Hata kama ni haki lakini kuidai kiivi ni hatari.
Tanzania ni nchi ya amani na sioni tatizo zaidi ya vidonda vilivyoachwa kwa kuminywa haki zetu, lakini tunaona kuwa vidonda vinaanza kupunguwa na tunatumai kuwa baada ya muda si mrefu yatabaki makovu.
Siku zote wapigania haki huitwa magaidi, hata Mandela aliitwa gaidi na akahukumiwa kifungo cha maisha. Jee, ni kweli alikuwa Gaidi? Laiti mngejuwa jinsi watu wanavyonyimwa haki zao huko Nigeria, nadhani wote mngekuwa upande wao. Lakini ni nani ataweza propaganda za "crusade"?
Leo Iraq, tuliaminishwa wana silaha za maangamizi, ziko wapi mpaka leo? lakini wanaouwa watoto, wazee, na kuikalia nchi yao na kuweka vikaragosi wanavyovitaka na kujichotea mali kiholela wanaonekana ni mashujaa, na wale wenye nchi wanaoonewa wamegeuzwa kuwa ndio maadui. Haki iko wapi?
Boko Haram, maana yake ni kupinga kuibiwa na kudanganywa na wageni na wale vikaragosi wao. Sasa kama wapo wanaotaka kuendelea kuwachia mali zikichotwaa, basi watupe kipande chetu na wao wabaki na hao wawapendao. Hao ndio Boko Haram.
Hatutoacha kuwa na wale wenye kudai haki zao kwa yakini.