hey mkuu.soma vizur hiyo post..kuna kitu kinaiywa AFRICOM...hii ilikuja kuuzima moto wa Nigerria na umoja waliokuwa nao katika nchi za kiafrica.sasa katika kuzishawishi nchi za africa kujiunga na AFRICOM marekani alienda UN na EU bila kusahau kuwa alienda saudi arabia kuwaomba ushirikiano wao katika kuishawishi africa.
kwa mantiki hii ni kuwa inawezekana kabisa saudia wanafaidi pia kwa hizi vita zinazokolezwa huku africa hivyo kuwachanganya wote katika vita ya somalia ni bora kuliko kumlaumu mmoja wao..both USA na Saudia ni wahuni..wafalme wa saudia ni waizrael hilo wapaswa uelewe.na marekani viongoz wengi ni waizrael.hivyo unategemea nini hapo..
nmewataja waizrael maksud ili uujue ukweli ulio ndan ya usa na saudia..