Boflo yapanda bei Zanzibar

Si watengeneze iwe milaini
Kuna mtu alienda zenji mchana akapewa urojo,usiku akapewa urojo tena kesho yake asubuhi aliaga akahamia hotel
😂😂😂😂😂 sasa s angekua na akiba akala anachotaka?? asubuhi urojo mchana urojo hahahhaa nimecheka, mimi kinachonishinda ni wali yan wali ni guarantee mchana na mchuzi huo kama juisi
 
haha kwan wewe hupendi vitamu?? mimi nikiendaga huko napendaga hizo bites zao huku nilipo ni gharama au nitengenezemwenyewe nikiwa na muda na n mara chache hufanya hivo lakini nikienda huko nafaidi kweli kweli

niliwahi kuhudhuria harusi nikiwa zenj, yani nilipiga hivo vitu mpaka kifua kikafanya kiungalia kama kuwaka moto kabisa yani dah ilikua tafrani wakati wa kulala usiku.
Kuna katlesi, kababu, eggchop, kuna na moja wanaita tri angle kama hivi unaweza kujisahau ukafakamia.
 
niliwahi kuhudhuria harusi nikiwa zenj, yani nilipiga hivo vitu mpaka kifua kikafanya kiungalia kama kuwaka moto kabisa yani dah ilikua tafrani wakati wa kulala usiku.
Kuna katlesi, kababu, ekchop, kuna na moja wanaita tri angle kama hivi unaweza kujisahau ukafakamia.
tena harusi kama hivyo wanaita chai ndio kuna hayo mambo
 
mkuu, kwa wajomba zangu ndio kama nyumbani siku zote nikienda unguja, sjajua sehem zingine lakini kama hizo katles huuzwa mia mia maandaz ni bei hiyo hiyo nachokishangaa wewe mgeni ukifika utanunuliwa vitu kama hivyo wao wataminyana na maboflo na urojo tena wa mia 2 juu walie hivo vitu na hata ukiongeza hela wao lazima wanunue hiyo mikate na ukiwauliza hawana majibu na wakiikosa asbh bas jioni ngoma ni hiyo

hata kwa mchana wao ni wali wali na wao na mchuzi kama juisi sasa sometimes unanikinaisha nataka ugali huwez amini unga nanunuliwa nasonga nakula ila wao hawapendi sembe
Mkuu hata ww unakula ugali ?
 
Nahisi kama vile mtt mlaini laini yake ma egg chop mabiriyani
hivyo vyote nala hata huo ugali na napendelea ugali mchana nibadilishe mboga tu ni vyakula vichache tu nisivyokula

vile ambavyo ni vigeni kwangu, kwa mfano zenji kuna vitu vinaitwa masheli sheli hayo hayapandi maharage ya sukari hapana kwa kweli viazi mviringo vya naz hapana na list inaendelea
 
Back
Top Bottom