Boflo na washikaji wenzake huko USA.

Boflo na washikaji wenzake huko USA.

Sikonge

Platinum Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,238
Boflo na washikaji wenzake huko USA. Hivi kuna mtu anaweza kuwataja hao wengine? Boflooooooooo!!!!!



Dada Kaunga , umemuona lakini Boflo hapo juu?
 
Last edited by a moderator:
kaka yangu mtandao leo unatusumbua sana kiasi kwamba nimeshindwa kumcheck dogo Boflo na visa vyake!
mwe wapanga lakini????
 
Kwivapanga sana. Ukishapata mtandao wa uhakika, basi utamuona.

Ila hapa kuna Shangazi yake Nyani Ngabu wa Oklahoma, Sweet Brown.....

kfc_o_907834.jpg

kaka yangu mtandao leo unatusumbua sana kiasi kwamba nimeshindwa kumcheck dogo Boflo na visa vyake!
mwe wapanga lakini????
 
Last edited by a moderator:
Hivi hii ni kweli? Kumbe Eminem na yeye ni mtu wa shamba, Maserukamba tu kibao kajaliwa....

tumblr_lkrzzy7PNe1qfyl5oo1_500.jpg
 
Here comes the hotstepper, I'm a lyrical gangster...

Inanirudisha nyuma sana hiyo ngoma.

Beat iko sampled toka 'buddy' ya De La Soul
 
Back
Top Bottom