Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
mbona sielewi elewi?Fanya mpango uweke picha yangu hapa nikiwa na Kongosho. Buku mbili zitakuhusu ukiweza.
Cheers mate!
Btw: Bishanga haruhusiwi kutoa comments hapa.
mbona sielewi elewi?
Naona mambo ya kunyang'anya wake yameshika kasi humu!
St paka mweusi inabidi akemee hili pepo!
mbona sielewi elewi?
usilolielewa usiku wa giza.aaah! amekupiga ban utafikiri ye ndio mod jamani pole
usilolielewa usiku wa giza.
usilolielewa usiku wa giza.
Ruta nitake radhi! Tangu lini kupiga picha na mke wa mtu (assuming Kongosho ni mke wa mtu kweli - maana nilichokiona so far ni kuwa binti anachezewa tu!) ikawa ni sawa na kunyang'anya mke wa mtu? Na kumbuka haijathibitishwa kuwa Kongosho ni privatized material!
aaah! amekupiga ban utafikiri ye ndio mod jamani pole
Mtoboasiri utakuwa na lako na wewe,
Bishanga ndo mpiga picha mkuu humu hujui kama unakilemaza kipaji chake?
Yaani unamhurumia kiivo?
Utadhani kajikata na kisu ?
Bishanga mpaka mida hii hujalala? Utakuwa hurefuki shaurilo
Na mie nimeshangaa! Si bure, hapa iko namna!
Naona mambo ya kunyang'anya wake yameshika kasi humu!
St paka mweusi inabidi akemee hili pepo!
Bishanga ni kibushuti ila nimeambiwa na Ruta- something hapa ukumbini kuwa kwao ndio supper tall wao.
Watu wanaangalia waleti tu mambo ya urefu na ufupi ni zilipendwa.