Mkuu unanikumbusha mbali,hiyo ilikuwa barabara ya SIKONGE,nilikuwa naelekea TUTUO!
Ni jambo zuri sana kuendeleza miji yetu na tena umenikumbusha mbali sana.Mambo ya ipole,inyonga,Mtakuja na mto ugalla kwenye samaki nayamiss sana kwa kweli!Nasikia siku izi inyonga imeamishiwa wilaya ya Mlale mkoa wa katavi!Hahahaa, Kumbe wewe kweli ni Tukutuku. Mitaa ya kwetu hiyo. Tutuo pamechangamka sana sana kwa sasa na hasa Kabanga, sijui kwa nini? Huku kwa Waarabu yaani ilipokuwa Stand ya Mabasi zamani pamepooza sana. Itabidi na mie nitafute kiwanja hapo Tutuo.
View attachment 71880View attachment 71881
Ni jambo zuri sana kuendeleza miji yetu na tena umenikumbusha mbali sana.Mambo ya ipole,inyonga,Mtakuja na mto ugalla kwenye samaki nayamiss sana kwa kweli!Nasikia siku izi inyonga imeamishiwa wilaya ya Mlale mkoa wa katavi!
Ni jambo la kushukuru kama miji imebadilika kwa kiasi hicho.Mimi sijafika siku nyingi sana,mara ya mwisho ulivyofika walikuwa wanaongeleaje kuhusu mambo ya uchawi maana miaka ya nyuma ilikuwa inatisha?Inawezekana ingawa kusema ukweli mie kwa kwenda Ipole, mwisho wangu ni Chabutwa na huku upande mwingine niliishia Kiloleli na zaidi ya hapo, siyo mwenyeji sana wa Tabora kwa sababu ya uvivu wa kutembea. Kama sina ndugu au cha muhimu cha kunipeleka, basi siendi sehemu kutembea.
Ila sehemu zinabadilika sana. Tutuo na Kiloleli kuna Guest House na Kiloleli kuna fisadi mmona anaitwa Boni kaweka hadi umeme wa Solar. Ukiingia jioni Umeme unawaka, lohh 🙂