Online Pastor
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,948
- 1,515
Ahahahaha,hv hyo kauli aliisema kweli?
Mkuu kufa huwa ni mara moja tu.Utarushiwa bomu
Mkuu kufa huwa ni mara moja tu.
Jamani ninyi waongo,dreamliner ya bure?Nakumbuka baada ya kununua Boeing 787 Dreamliner kwa cash rais alisema wazungu (Boeing) wamefurahi sana, akasema wameahidi kutupa ndege nyingine ya nyongeza bure.
Tayari Dreamliner imeshafika, nauliza tu ile ndege ya nyongeza tumeshapewa au bado iko kiwandani inamaliziwa kupakwa rangi.
Wajinga ndio waliwao.
CC: Msemaji wa serikali.
Mkishamaliza mtafanya nini tena.kilichobaki ni kunyakua chama chao na mwenyekiti wao
HahaahhaaWatu wananunua ad gari 100 kwa wakati mmoja hawaongezewi ata spare tyre
Sisi tumenunua kandege kamoja tunataka na nyonheza ya ndege nyingine
Maguful aliona watz wote ni Wa sukuma kwa hyo ata akisema kuna siku meli ya mizigo itatia nanga Arusha mtaamini tu!
Safi sana maana kufa kufaana mkuu. Ngoma kibindoni na ubunge upo pale pale. What a fortune!!!!!!!!!!Hamjaacha uzushi tu?Ngoja tunyakuwe mbunge Mwingine
Labda hiyo nyongeza ilikuwa toy(mdoli) wa ndege. Aliipokea kimya kimya, itakuwa ikulu.Nakumbuka baada ya kununua Boeing 787 Dreamliner kwa cash rais alisema wazungu (Boeing) wamefurahi sana, akasema wameahidi kutupa ndege nyingine ya nyongeza bure.
Tayari Dreamliner imeshafika, nauliza tu ile ndege ya nyongeza tumeshapewa au bado iko kiwandani inamaliziwa kupakwa rangi.
Wajinga ndio waliwao.
CC: Msemaji wa serikali.
Biashara ya ndege ni tofauti na ya kutembeza karanga mitaaniNakumbuka baada ya kununua Boeing 787 Dreamliner kwa cash rais alisema wazungu (Boeing) wamefurahi sana, akasema wameahidi kutupa ndege nyingine ya nyongeza bure.
Tayari Dreamliner imeshafika, nauliza tu ile ndege ya nyongeza tumeshapewa au bado iko kiwandani inamaliziwa kupakwa rangi.
Wajinga ndio waliwao.
CC: Msemaji wa serikali.
Hizi ndege zinatia wasiwasi!
labda wanataka kutuletea Boeing 737 - 8 MAX inayoua watu kila uchwao!!Nakumbuka baada ya kununua Boeing 787 Dreamliner kwa cash rais alisema wazungu (Boeing) wamefurahi sana, akasema wameahidi kutupa ndege nyingine ya nyongeza bure.
Tayari Dreamliner imeshafika, nauliza tu ile ndege ya nyongeza tumeshapewa au bado iko kiwandani inamaliziwa kupakwa rangi.
Wajinga ndio waliwao.
CC: Msemaji wa serikali.