Mcmillan de Maghayo
Senior Member
- Dec 6, 2025
- 186
- 393
Mzuka Wana jamvi!
Hawa walinzi wa rais wa Uganda Yoweri Kaguta Mseven Wanafanana kama wamachinga kariako na Karume.
Wanakaa kishamba shamba tu.
Yani wakowako tu na wanasura ngumu balaa kama watu wa Mara.
Hata madalali wa bongo wako nadhif kuwaliko.
Yani hawafananii kabisa na "ubodyguard".