Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,534
- 5,342
si body language ni engine language.
Omba MUNGU nyambizi hiyo isikuzamishe!!!
Kufa kwa kukosa HEWA (suffocation) ni moja ya vyanzo tarajiwa vya kifo chako..Kwenye magazeti ya Shigongo itasomeka: ALIFIA MANYONYEONI baada ya kukosa hewa🙂
Mama mwenye nyumba kaja kudai kodi yake!