Bodi ya TRA kwanini haijavunjwa, Bade kaonewa?

Bodi ya TRA kwanini haijavunjwa, Bade kaonewa?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,654
Kuna uzi niliweka hapa kuhusu kina nani wanafaa ku run economy hivyo Magufuli amteue mmoja wao...katika list hiyo alikuwepo Rishad Bade..... Sasa baada ya skendo la makontena TRA baadhi ya watu wamekuwa wakiniuliza kama Rishad Bade nilikosea kumtaja katika list hiyo na mwingine ni Harry Kitilya.

Sasa wakati natafakari yaliyotokea TRA. Hapa JF kuna uzi wa mkuu R.B wa mwaka 2013, kwenye huu uzi kuna mambo yamejitokeza yamenishangaza sana.

Kamati ya Bunge yaibana TRA kwa kumpandisha cheo asiyestahili kwa tuhuma makontena kupotea mikononi

Kumbe bodi ya TRA inateua watendaji na ilimteua Masamaki huku akiwa tayari ana tuhuma za kupotea ka makontena mengine. Na sio hilo tu, kamati ya bunge ililiona hilo na kuihoji Bodi kwa maamuzi hayo mtu mwingine ambae nae inaonekana bodi ya TRA ilimteua ni Blandina Nyoni.

Sasa kama bodi kwanza ina nguvu hivyo ya kuteua watendaji halafu pili watendaji wenye tuhuma tayari... Ilikuwa ni busara kumuwajibisha Kamishna wakati mamlaka kamili ya kuteua watendaji wa chini yake yako bodi, na bodi imeachwa kama ilivyo?

Pili hii structure ya TRA ambapo kamishna anateuliwa na Rais na naibu pia na Rais halafu watendaji wa chini yake wanateuliwa na bodi nani ali design hii?

Inawezekana kweli kamishna akawa na nguvu TRA huku anateuliwa watu? Na mamlaka ambazo ziko juu yake? Rais na Bodi?

Na kama hizi tuhuma sio mpya labda uchunguzi ungefanyika wa mda mrefu wa tatizo hili? Kontena zimepungua kupotea au zimezidi baada ya Bade kuteuliwa?

What if zimepungua sana despite the fact hana nguvu kuliko Bodi? Why bodi iteue watuhumiwa? Je, wajumbe wa bodi ya TRA wanachunguzwa? Wamehojiwa? Why bodi haijavunjwa?

Ikidhihirika Bade alikuwa hahusiki kabisa na alikuwa anapambana na 'powerful forces' kumaliza hilo tatizo atarudishwa? Ataombwa radhi kwa kuchafuka?
 
Kwani kuna mahali Bade ametuhumiwa kuhusika na skendo Fulani moja kwa moja?

Ulifunguliwa waraka na PM kama anatambua namb za hizo kontena , akaonyeshwa idadi ya containers 349 zilizopotea, akakiri kuzitambua na aka ahidi thamani yake yote itarudi!
- Kama alikuwa akilifahamu hili, alichukuwa hatua gani kabla?
-Je, waziri mkuu asingeenda pale, hizo jitihada za kuyatafuta zingeanza lini au ndiyo ingekuwa imetoka?

Bado mambo yanaendelea hapo TRA, pengine lipo ndani ya mkakati wa JPM, naona ni mapema mno tukihukumu ukizingatia kamishna wa sasa anakaimu! Umesikia pia leo wamepewa siku kadhaa waelezo mali na madeni yao!

Tuwe wavumilivu tu kwa sasa, vile mimi naona!
 
Ni bora ukahesabia kuwa kila kilichokuwa kikiendelea katika nchi hii kabla ya awamu ya nne kuacha uteuzi ambao ulifanyika mpaka sekunde ya mwisho kilikuwa VOID. Ushahidi ni maneno na matendo ya awamu ya tano.
Ngoja tungoje na tuone wale walioamini kuwa mabadiliko yanawezekana kwenye ccm iliyoishiwa pumzi ikiwa na Dr. Magufuli aliye hai japo kuna wanaodai kuwa Ukawa walichaguliwa na wananchi.
 
why bodi haikuvunjwa?
 
Sikusudii kubadilisha maada lakini bodi kwenye mashirika mengi ya umma Tanzania ni kichekesho. Mfano ni kwamba mwenyekiti wa bodi ya BoT ni Gavana mwenyewe ambaye bodi inatakiwa imsimamie.

Kwa TRA, Kamishna na msaidizi wake wanateuliwa na Rais. Ina maana bodi haina mamlaka ya kumuwajibisha. Labda kupeleka mapendekezo kwa Rais ambaye anaweza kuyapuuza. Maana yake ni kwamba bodi ipo kama boya tu.
 
why bodi haikuvunjwa?
Kwani hiyo bodi iliyohusika na uteuzi iliundwa lini na inamaliza muda wake lini?Unajuaje kama haijamaliza muda wake na iliyopo sasa ni bodi mpya??????????Na kwanini usisubiri uchunguzi ukamilike kwanza na kama huyo Bade hana makosa ujue.....................
 
Umesoma hayo maoni ya K.Msese ?

Maana sioni kama kuna time frame kuwa hadi muda Fulani Bodi iwe imeshavunjwa, ama nini kiinatakiwa kuanza kushughulikiwa kwanza au nini kiwe cha mwisho given kuwa sakata ndani ya tra bado linaendelea!
 
Sikusudii kubadilisha maada lakini bodi kwenye mashirika mengi ya umma Tanzania ni kichekesho. Mfano ni kwamba mwenyekiti wa bodi ya BoT ni Gavana mwenyewe ambaye bodi inatakiwa imsimamie.

Kwa TRA, Kamishna na msaidizi wake wanateuliwa na Rais. Ina maana bodi haina mamlaka ya kumuwajibisha. Labda kupeleka mapendekezo kwa Rais ambaye anaweza kuyapuuza. Maana yake ni kwamba bodi ipo kama boya tu.

Mkuu Sibonike
hivi uliona hivyo vyeo vya kina masamaki na blandina?
na wao ni makamishna wanaoteuliwa na bodi....

kamishna wa kodi-masamaki
kamishna wa nini sijui-blandina

ajabu sana
 
Last edited by a moderator:
Maana sioni kama kuna time frame kuwa hadi muda Fulani Bodi iwe imeshavunjwa, ama nini kiinatakiwa kuanza kushughulikiwa kwanza au nini kiwe cha mwisho given kuwa sakata ndani ya tra bado linaendelea!

Huoni bodi kumteua 'mtuhumiwa' wa upotevu wa makonntena
moja kwa moja wanajua wanachokifanya?
why wao bodi wasichunguzwe?
 
Mkuu Sibonike
hivi uliona hivyo vyeo vya kina masamaki na blandina?
na wao ni makamishna wanaoteuliwa na bodi....

kamishna wa kodi-masamaki
kamishna wa nini sijui-blandina

ajabu sana

Mfumo wa bodi za mashirika ya umma upo weak sana kiasi kwamba hauna manufaa yoyote. Ile role ambayo bodi ingekuwa nayo haipo. Mwisho ni maamuzi ya mtu mmoja na inaweza kuwa kwa manufaa yake.

Bodi nyingi, mwenyekiti huteuliwa na Rais lakini wajumbe huteuliwa na waziri. Sina uhakika kwa vigezo gani.
 
Huoni bodi kumteua 'mtuhumiwa' wa upotevu wa makonntena
moja kwa moja wanajua wanachokifanya?
why wao bodi wasichunguzwe?

1. Umejuaje au una taarifa zipi kuwa bodi haichungizwi?

2. Makosa ya bodi yanaonekana dhahiri, je mwenzetu una uhakika au taarifa yeyote kuwa sakata la TRA limeshamalizwa ili isemwe mbona wale wachafu wameachwa?
 
Kuna uzi niliweka hapa kuhusu kina nani wanafaa ku run economy hivyo Magufuli amteue mmoja wao...katika list hiyo alikuwepo Rishad Bade.....sasa baada ya skendo la makontena TRA baadhi ya watu wamekuwa wakiniuliza kama Rishad Bade nilikosea kumtaja katika list hiyo na mwingine ni Harry Kitilya.Sasa wakati natafakari yaliyotokea TRA.

Hapa JF kuna uzi wa mkuu R.B wa mwaka 2013, kwenye huu uzi kuna mambo yamejitokeza yamenishangaza sana.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kwa-tuhuma-makontena-kupotea-mikononi-2.html

Kumbe bodi ya TRA inateua watendaji na ilimteua Masamaki huku akiwa tayari ana tuhuma za kupotea ka makontena mengine.Nna sio hilo tu kamati ya bunge ililiona hilo na kuihoji Bodi kwa maamuzi hayo mtu mwingine ambae nae inaonekana bodi ya TRA ilimteua ni Blandina Nyoni.

Sasa kama bodi kwanza ina nguvu hivyo ya kuteua watendaji halafu pili watendaji wenye tuhuma tayari...ilikuwa ni busara kumuwajibisha Kamishna wakati mamlaka kamili ya kuteua watendaji wa chini yake yako bodi,na bodi imeachwa kama ilivyo?

Pili hii structure ya TRA ambapo kamishna anateuliwa na Rais na naibu pia na Rais halafu watendaji wa chini yake wanateuliwa na bodi nani ali design hii?

Inawezekana kweli kamishna akawa na nguvu TRA huku anateuliwa watu? na mamlaka ambazo ziko juu yake? Rais na Bodi?

Na kama hizi tuhuma sio mpya labda uchunguzi ungefanyika wa mda mrefu wa tatizo hili? kontena zimepungua kupotea au zimezidi baada ya Bade kuteuliwa?

What if zimepungua sana despite the fact hana nguvu kuliko Bodi?

Why bodi iteue watuhumiwa?

Je, wajumbe wa bodi ya TRA wanachunguzwa?wamehojiwa? why bodi haijavunjwa?

Ikidhihirika Bade alikuwa hahusiki kabisa na alikuwa anapambana na 'powerful forces' kumaliza hilo tatizo atarudishwa? Ataombwa radhi kwa kuchafuka?

ktk awamu ambayo mafisadi wamefisadi nchi ni hii ya nne, na teuzi zlifanywa strategicaly kusaidia kufisadi.TRA hapakuwa kuwa na naibu kamishna mkuu ila strategicaly aliwekwa bade ili awe incumbent na hatimae alinde ufisadi wa awamu ya nne.sasa hilo wengine walilijua na ndyo imekula kwake bade
 
1. Umejuaje au una taarifa zipi kuwa bodi haichungizwi?

2. Makosa ya bodi yanaonekana dhahiri, je mwenzetu una uhakika au taarifa yeyote kuwa sakata la TRA limeshamalizwa ili isemwe mbona wale wachafu wameachwa?

Kwani Kamishna si kasimamishwa ili achunguzwe?
why bodi isivunjwe wakati inachunguzwa?kama inachunguzwa at all..
 
Back
Top Bottom