Bodi ya TRA kwanini haijavunjwa, Bade kaonewa?

Bodi ya TRA kwanini haijavunjwa, Bade kaonewa?

magu atuwekee mfumo bora wa usimamizi kwa kuirudisha rasimu ya warioba .mambo mengine ya uteuzi wa kulindana yatarekebishwa na katiba. Tumechoshwa na miaka 10 ya maigizo
 
1. Umejuaje au una taarifa zipi kuwa bodi haichungizwi?

2. Makosa ya bodi yanaonekana dhahiri, je mwenzetu una uhakika au taarifa yeyote kuwa sakata la TRA limeshamalizwa ili isemwe mbona wale wachafu wameachwa?

Kumbuka K/Kamishna Dr. P. Mpango alikuwa mjumbe wa Bodi ya TRA kutokana na nafasi yake ya kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango. Kuna mengi anayajua na huenda Bodi ndiyo inahusika katika kufukua huu uozo. Nani ajuae????
 
Hivi nani wako bodi ya TRA? Labda inaweza kutupa clue kwanini bado ipo
 
Kuna uzi niliweka hapa kuhusu kina nani wanafaa ku run economy hivyo Magufuli amteue mmoja wao...katika list hiyo alikuwepo Rishad Bade.....sasa baada ya skendo la makontena TRA baadhi ya watu wamekuwa wakiniuliza kama Rishad Bade nilikosea kumtaja katika list hiyo na mwingine ni Harry Kitilya.Sasa wakati natafakari yaliyotokea TRA.

Hapa JF kuna uzi wa mkuu R.B wa mwaka 2013, kwenye huu uzi kuna mambo yamejitokeza yamenishangaza sana.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kwa-tuhuma-makontena-kupotea-mikononi-2.html

Kumbe bodi ya TRA inateua watendaji na ilimteua Masamaki huku akiwa tayari ana tuhuma za kupotea ka makontena mengine.Nna sio hilo tu kamati ya bunge ililiona hilo na kuihoji Bodi kwa maamuzi hayo mtu mwingine ambae nae inaonekana bodi ya TRA ilimteua ni Blandina Nyoni.

Sasa kama bodi kwanza ina nguvu hivyo ya kuteua watendaji halafu pili watendaji wenye tuhuma tayari...ilikuwa ni busara kumuwajibisha Kamishna wakati mamlaka kamili ya kuteua watendaji wa chini yake yako bodi,na bodi imeachwa kama ilivyo?

Pili hii structure ya TRA ambapo kamishna anateuliwa na Rais na naibu pia na Rais halafu watendaji wa chini yake wanateuliwa na bodi nani ali design hii?

Inawezekana kweli kamishna akawa na nguvu TRA huku anateuliwa watu? na mamlaka ambazo ziko juu yake? Rais na Bodi?

Na kama hizi tuhuma sio mpya labda uchunguzi ungefanyika wa mda mrefu wa tatizo hili? kontena zimepungua kupotea au zimezidi baada ya Bade kuteuliwa?

What if zimepungua sana despite the fact hana nguvu kuliko Bodi?

Why bodi iteue watuhumiwa?

Je, wajumbe wa bodi ya TRA wanachunguzwa?wamehojiwa? why bodi haijavunjwa?

Ikidhihirika Bade alikuwa hahusiki kabisa na alikuwa anapambana na 'powerful forces' kumaliza hilo tatizo atarudishwa? Ataombwa radhi kwa kuchafuka?

Mfumo wa uendeshaji wa mashirika ya Umma haufuati ule wa makampuni binafsi. Wajumbe w bodi pia huteuliwa aidha na rais au wizara husika kwa vgezo wavijuavyo. Japo Bade ni kuwa mteule wa rais ni, mjumbe wa Bodi hiyo maana ndiko anakoeleza mikakati na changamoto za uendeshaji na jinsi menejimenti inavyoshughlikia.
 
Huoni bodi kumteua 'mtuhumiwa' wa upotevu wa makonntena
moja kwa moja wanajua wanachokifanya?
why wao bodi wasichunguzwe?
Na huyo Nyoni si naye alikuwa mtuhumiwa wa nini sijui pale wizara ya Afya akaondolewa? Tanznia hatuangalii ya nyuma ni mbele kwa mbele, likigonga tumefika.
 
Kuna uzi niliweka hapa kuhusu kina nani wanafaa ku run economy hivyo Magufuli amteue mmoja wao...katika list hiyo alikuwepo Rishad Bade..... Sasa baada ya skendo la makontena TRA baadhi ya watu wamekuwa wakiniuliza kama Rishad Bade nilikosea kumtaja katika list hiyo na mwingine ni Harry Kitilya.

Sasa wakati natafakari yaliyotokea TRA. Hapa JF kuna uzi wa mkuu R.B wa mwaka 2013, kwenye huu uzi kuna mambo yamejitokeza yamenishangaza sana.

Kamati ya Bunge yaibana TRA kwa kumpandisha cheo asiyestahili kwa tuhuma makontena kupotea mikononi

Kumbe bodi ya TRA inateua watendaji na ilimteua Masamaki huku akiwa tayari ana tuhuma za kupotea ka makontena mengine. Na sio hilo tu, kamati ya bunge ililiona hilo na kuihoji Bodi kwa maamuzi hayo mtu mwingine ambae nae inaonekana bodi ya TRA ilimteua ni Blandina Nyoni.

Sasa kama bodi kwanza ina nguvu hivyo ya kuteua watendaji halafu pili watendaji wenye tuhuma tayari... Ilikuwa ni busara kumuwajibisha Kamishna wakati mamlaka kamili ya kuteua watendaji wa chini yake yako bodi, na bodi imeachwa kama ilivyo?

Pili hii structure ya TRA ambapo kamishna anateuliwa na Rais na naibu pia na Rais halafu watendaji wa chini yake wanateuliwa na bodi nani ali design hii?

Inawezekana kweli kamishna akawa na nguvu TRA huku anateuliwa watu? Na mamlaka ambazo ziko juu yake? Rais na Bodi?

Na kama hizi tuhuma sio mpya labda uchunguzi ungefanyika wa mda mrefu wa tatizo hili? Kontena zimepungua kupotea au zimezidi baada ya Bade kuteuliwa?

What if zimepungua sana despite the fact hana nguvu kuliko Bodi? Why bodi iteue watuhumiwa? Je, wajumbe wa bodi ya TRA wanachunguzwa? Wamehojiwa? Why bodi haijavunjwa?

Ikidhihirika Bade alikuwa hahusiki kabisa na alikuwa anapambana na 'powerful forces' kumaliza hilo tatizo atarudishwa? Ataombwa radhi kwa kuchafuka?
We jamaa una akili sana !
 
Back
Top Bottom