Bodi ya TRA kwanini haijavunjwa, Bade kaonewa?

Bodi ya TRA kwanini haijavunjwa, Bade kaonewa?

Nilio wakumbuka kwa haraka
wengine wote wanakaribishwa

Asante, binafsi navutiwa sana na anachofanya rais Magufuli. Hapo TRA kaanza na mteule wake na wachache ambao ni visible. Tuvute subira inawezekana kabisa mara baada ya uchunguzi kukamilika tutaona TRA mpya, Tanzania mpya pia. Tumeanza kuona kina Lipumba wakiitwa kwa ajili ya kupewa kazi, ni wazi kuwa kila mwenye mchango wa maana kwa ustawi wa Tanzania atapewa nafasi bila kujali itikadi.
Ni kweli kabisa bodi zote zimekaa vibaya na tayari kuna mwelekeo wa kuziunda upya.
Imani yangu ni kuwa we have got someone to fulfil our dreams.
Tumpe ushirikiano tu.
 
Kwani Kamishna si kasimamishwa ili achunguzwe?
why bodi isivunjwe wakati inachunguzwa?kama inachunguzwa at all..

Kwani uwepo wa bodi unazuia uchunguzi?
Mara nyingi hata hiyo bodi hukutana mara moja au mbili kwa mwaka
 
Mbona PM alimpiga chini mwenyekiti wa bodi siku ile ile alivyokuwa anawahukumu wakina MASAMAKI.

Alisema mwenyekiti wa bodi tunaomba utupishe, uwe nje ya utumishi wa umma kupisha uchunguzi

Tra mwanza waliambiwa wakusanye TIRIONI 4 kwa mwaka hao wamekusanya BIL 123 tu kwa mwaka hafu hamna waliowajibishwa.

Tuweke vyama vyetu pembeni nchi ina matatizo makubwa mno, yaan uyu BADE hana usafi wowote, kitendo cha kushindwa kuisimamia

TRA tayari ni kosa kubwa
 
Kuna uzi niliweka hapa kuhusu kina nani wanafaa ku run economy hivyo Magufuli amteue mmoja wao...katika list hiyo alikuwepo Rishad Bade.....sasa baada ya skendo la makontena TRA baadhi ya watu wamekuwa wakiniuliza kama Rishad Bade nilikosea kumtaja katika list hiyo na mwingine ni Harry Kitilya.Sasa wakati natafakari yaliyotokea TRA.

Hapa JF kuna uzi wa mkuu R.B wa mwaka 2013, kwenye huu uzi kuna mambo yamejitokeza yamenishangaza sana.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kwa-tuhuma-makontena-kupotea-mikononi-2.html

Kumbe bodi ya TRA inateua watendaji na ilimteua Masamaki huku akiwa tayari ana tuhuma za kupotea ka makontena mengine.Nna sio hilo tu kamati ya bunge ililiona hilo na kuihoji Bodi kwa maamuzi hayo mtu mwingine ambae nae inaonekana bodi ya TRA ilimteua ni Blandina Nyoni.

Sasa kama bodi kwanza ina nguvu hivyo ya kuteua watendaji halafu pili watendaji wenye tuhuma tayari...ilikuwa ni busara kumuwajibisha Kamishna wakati mamlaka kamili ya kuteua watendaji wa chini yake yako bodi,na bodi imeachwa kama ilivyo?

Pili hii structure ya TRA ambapo kamishna anateuliwa na Rais na naibu pia na Rais halafu watendaji wa chini yake wanateuliwa na bodi nani ali design hii?

Inawezekana kweli kamishna akawa na nguvu TRA huku anateuliwa watu? na mamlaka ambazo ziko juu yake? Rais na Bodi?

Na kama hizi tuhuma sio mpya labda uchunguzi ungefanyika wa mda mrefu wa tatizo hili? kontena zimepungua kupotea au zimezidi baada ya Bade kuteuliwa?

What if zimepungua sana despite the fact hana nguvu kuliko Bodi?

Why bodi iteue watuhumiwa?

Je, wajumbe wa bodi ya TRA wanachunguzwa?wamehojiwa? why bodi haijavunjwa?

Ikidhihirika Bade alikuwa hahusiki kabisa na alikuwa anapambana na 'powerful forces' kumaliza hilo tatizo atarudishwa? Ataombwa radhi kwa kuchafuka?

Mkuu,mabadiliko ya kweli chini ya CCM ni ndoto ya mchana!
 
Mbona PM alimpiga chini mwenyekiti wa bodi siku ile ile alivyokuwa anawahukumu wakina MASAMAKI.

Alisema mwenyekiti wa bodi tunaomba utupishe, uwe nje ya utumishi wa umma kupisha uchunguzi

Tra mwanza waliambiwa wakusanye TIRIONI 4 kwa mwaka hao wamekusanya BIL 123 tu kwa mwaka hafu hamna waliowajibishwa.

Tuweke vyama vyetu pembeni nchi ina matatizo makubwa mno, yaan uyu BADE hana usafi wowote, kitendo cha kushindwa kuisimamia

TRA tayari ni kosa kubwa

Basi haikuripotiwa
sijaona kuwa bodi imevunjwa ya TRA...
najua bodi ya Muhimbili tu
 
Kwani Kamishna si kasimamishwa ili achunguzwe?
why bodi isivunjwe wakati inachunguzwa?kama inachunguzwa at all..

Nafikiri wahusika wanatumia formation ya uvaaji sox, yoyote unaweza uvae mguu wowote!

Nina maanisha kwamba, inawezekana wameamua waanze ngazi ya kamisha kushuka chini, halafu hiyo bodi...kiporo, kwa maana kwamba sio utaratibu ambao wewe utaona ni sahihi......!

embu tuvute subira tujue picha litaishaje!
 
Bodi ya TRA ndo haifai kabisa, coz ndo iliyommislead JK mpaka akamteua Bade kuwa boss wa TRA, wakati watu walishapiga kelele sana kupinga hata kupewa nafasi ya kukaimu tu nafasi hiyo.

Ktk kashfa ya makontena Bade is simply irresponsible boss!!! so ni sahihi kuwajibika

Hata mimi nashangaa kwanini board haijachukuliwa hatua yo yote.

Ila yote tisa, kumi ni kwamba Magufuli inabidi azingatie watu sahihi wa kuwa wanabodi, azingalie experience, utaalamu na nini mtu anaenda kuchangia ktk bodi, haya mambo ya kupeana tu ulaji ndo yanatufikisha ktk madudu kama haya. Unakuta mtu kama Pius msekwa eti ndo mwenyekiti wa bodi ya Ngorongoro, are really serious? Msekwa na mambo ya Utalii na uhifadhi wanyamapori wapi na wapi???!!!
 
Hii nchi inahitaji tu kusamehehana na maridhiano baas. Hata mkuu wa nchi ana kashfa nzito ya ufisad. Haki ikitendeka hakuna atakayepona. Hata iyo nafas magogon asingeipata. Watu tusamehehane yaishe tuanze upia. Rais wabrazil mwanamama Dilma Rousseff wanataka kumuimpeanch kwa kashfa ya ufisad na wataalam wa mambo wanasema itakuwa tukio la aina yake. Kuhusu nyumba za serekal na kivuko ingekuwa nchi za Watu wanaojielewa hii kasi ya maghumash ngosha angeizikilizia nyuma ya nondo. Aache uonevu tu hamna msafi
 
Na mimi ndo nashangaa zaidi...bodi ina madhambi mengi kuliko Kamishna kwenye hili
 
Hii nchi inahitaji tu kusamehehana na maridhiano baas. Hata mkuu wa nchi ana kashfa nzito ya ufisad. Haki ikitendeka hakuna atakayepona. Hata iyo nafas magogon asingeipata. Watu tusamehehane yaishe tuanze upia. Rais wabrazil mwanamama Dilma Rousseff wanataka kumuimpeanch kwa kashfa ya ufisad na wataalam wa mambo wanasema itakuwa tukio la aina yake. Kuhusu nyumba za serekal na kivuko ingekuwa nchi za Watu wanaojielewa hii kasi ya maghumash ngosha angeizikilizia nyuma ya nondo. Aache uonevu tu hamna msafi

You can say that again....
 
The Boss ulisikiliza mazungumzo kati ya Pm na Bade?
Bodi inahusika na daily activities za TRA?
Bade aliitaarifu bodi kuwa containers zimepotea?

Bade hajatuhumiwa,kasimamishwa uchunguzi uendelee.
Ikigundulika alizembea ,hatua zitachukuliwa,ikiwemo hiyo bodi
 
Last edited by a moderator:
Bodi ya TRA ndo haifai kabisa, coz ndo iliyommislead JK mpaka akamteua Bade kuwa boss wa TRA, wakati watu walishapiga kelele sana kupinga hata kupewa nafasi ya kukaimu tu nafasi hiyo.

Ktk kashfa ya makontena Bade is simply irresponsible boss!!! so ni sahihi kuwajibika

Hata mimi nashangaa kwanini board haijachukuliwa hatua yo yote.

Ila yote tisa, kumi ni kwamba Magufuli inabidi azingatie watu sahihi wa kuwa wanabodi, azingalie experience, utaalamu na nini mtu anaenda kuchangia ktk bodi, haya mambo ya kupeana tu ulaji ndo yanatufikisha ktk madudu kama haya. Unakuta mtu kama Pius msekwa eti ndo mwenyekiti wa bodi ya Ngorongoro, are really serious? Msekwa na mambo ya Utalii na uhifadhi wanyamapori wapi na wapi???!!!

Labda kuna specific watu wanatafutwa. Lakini ukweli ni kwamba hakuna aliyewahi kuwa waziri sisiemu aliye msafi.
 
The Boss ulisikiliza mazungumzo kati ya Pm na Bade?
Bodi inahusika na daily activities za TRA?
Bade aliitaarifu bodi kuwa containers zimepotea?

Bade hajatuhumiwa,kasimamishwa uchunguzi uendelee.
Ikigundulika alizembea ,hatua zitachukuliwa,ikiwemo hiyo bodi

Mkuu hivi umesoma link ya mkuu R.B ?
Bodi inateua watendaji na ilimteua kwa makusudi Masamaki
huku ikujua ana historia ya kupoteza makontena na kamati ya bunge ililiona hilo
sasa why bodi isichunguzwe?why wamteue mpiga dili ?wao wamefaidika vipi?
 
Last edited by a moderator:
Bodi ya TRA ndo haifai kabisa, coz ndo iliyommislead JK mpaka akamteua Bade kuwa boss wa TRA, wakati watu walishapiga kelele sana kupinga hata kupewa nafasi ya kukaimu tu nafasi hiyo.

Ktk kashfa ya makontena Bade is simply irresponsible boss!!! so ni sahihi kuwajibika!!!

Hahaha JK anakuwa mis led na kila mtu amekuwa kichwa cha mwendawazimu? ? Tukubali tu JK hakujali ilimradi interest zake haziguswi.
 
Hii nchi inahitaji tu kusamehehana na maridhiano baas. Hata mkuu wa nchi ana kashfa nzito ya ufisad. Haki ikitendeka hakuna atakayepona. Hata iyo nafas magogon asingeipata. Watu tusamehehane yaishe tuanze upia.

Mkuu maridhiano yaendane na kurudisha Mali za ufisadi kwa wananchi. Tukishataifisha then tuanze mwanzo.
 
Mkuu hivi umesoma link ya mkuu R.B ?
Bodi inateua watendaji na ilimteua kwa makusudi Masamaki
huku ikujua ana historia ya kupoteza makontena na kamati ya bunge
ililiona hilo
sasa why bodi isichunguzwe?why wamteue mpiga dili ?wao wamefaidika vipi?

Nimeona hiyo habari.
Naomba unijubu kama Bade aliitaarifu bodi kuhusu upotevu wa containers?
Bodi inazuia vipi uchunguzi?
 
Last edited by a moderator:
watu mnajua vitu/mambo hadi najiona pido. Nijiendee zangu em em yuuuuu..!
 
Inawezekana pia ni bodi ndiyo imeshiriki kumuwajibisha Bade na wengine wote ambao wameshatajwa kwenye hili sakata kwa ku record mapungufu yao na kuyaripoti ngazi za juu - namely ikulu. Inawezekana ikawa ndiyo sababu bodi imeachwa. I mean, there are so many possible reasons and it's only Magufuli ndo anayejua ukweli wote kuhusu kwanini ameiacha bodi mpaka sasa. I believe, sisi "umma" bado hatujui what exactly is going on; na mimi binafsi nina mashaka na effectiveness ya approach ya Magufuli. Kwa hatua hii, though, I give him the benefit of doubt. It is a step in the right direction. Ufisadi Tz ni tatizo kubwa sana.
 
ktk awamu ambayo mafisadi wamefisadi nchi ni hii ya nne, na teuzi zlifanywa strategicaly kusaidia kufisadi.TRA hapakuwa kuwa na naibu kamishna mkuu ila strategicaly aliwekwa bade ili awe incumbent na hatimae alinde ufisadi wa awamu ya nne.sasa hilo wengine walilijua na ndyo imekula kwake bade

Mimi nadhani kusema imekula kwake ni kama umejiridhisha tu. Yeye ameshatekeleza wajibu na keki yake ameshawekewa mahali, huenda ni uswisi. Nchi inaendeshwa kihuni huni sana, wakati mwingine wapo wanaopewa kazi maalum ya muda akiwa tayari kufutwa kibarua wakati wowote, lakini umaskini kwake unakuwa umefutika.
 
Back
Top Bottom