Alafu NBAA na Bodi ya kenya na Rwanda wamesaini mkataba CPA(T),CPA(K) CPA(R) wafanye kazi kwenye nchi zao bila masharti magumu! Unafikiri Nchi gani itafaidika hapo!!
RECORDS keepers at work... naona mnalumbana!
wahasibu mkuu... Uhasibu ni all about past records.Ndio akina nani hao mkuu?
utoah aliwahi kuchanganyikiwa kwa tetesi tu kuwa paper imevuja Arusha.NBAA wanasifika kwa umakini na quality ya professional exams lakini tembo akisifiwa sana....
Tangia maneno aingie pale mambo ya NBAA yamekuwa hovyoooo!! Tatizo lingine ni kwamba NBAA ni chombo cha serikali na wala si chombo cha wanachama. Ingekuwa chombo cha wanachama ingebidi mpige kura ya kutokuwa imani na hao viongozi ili muwafute kazi lakini hao ni wateule wa Rais!!! Hivi ACCA wanaendeshaje mambo yao? ACCA ni chombo cha nani? Kuna upuuzi kama huo kweli?
Mkuu huo uhasibu wa zamani sana! Siku hizi finance and accounts ndio moyo wa kampuni! Ndio maana ma casher na bank taller waliitwa wahasibu enzi hizo! Unajua role ya chief Accountant na finance manager?wahasibu mkuu... Uhasibu ni all about past records.
Mkuu nilikuwa naona professional inayoheshimika ni uhasibu kumbe nayo hovyo!!!siasa zimepenyezwa huko na ndio maana watu kwa mara ya kwanza wanaanza kuquestion 'nia' ya Mzee Utoh kama kweli anasimamia zile standards za NBAA.
Pia tusisahau kua hakuna taasisi ya umma ambayo wahasibu wake hawana CPA lakini taarifa zao za mahesabu ndizo zinakatisha tamaa maana wanaendeshwa na wanasiasa kwa hiyo na wao wameamua kuwa 'wanasiasa-'b'
siasa zimepenyezwa huko na ndio maana watu kwa mara ya kwanza wanaanza kuquestion 'nia' ya Mzee Utoh kama kweli anasimamia zile standards za NBAA.
Pia tusisahau kua hakuna taasisi ya umma ambayo wahasibu wake hawana CPA lakini taarifa zao za mahesabu ndizo zinakatisha tamaa maana wanaendeshwa na wanasiasa kwa hiyo na wao wameamua kuwa 'wanasiasa-'b'
Wafanyakazi wa Bodi nao ni binadamu kama wewe!! Wakosee madaktari wa kuasua kichwa badala ya mguu sembuse hayo maandishi tu.
wahasibu mkuu... Uhasibu ni all about past records.
Please come out of that BOX and you will notice that the world has changed.
Mkuu umenena sawia!! Quality assurance ni muhimu sana. Ina maana wao hawakufanya review na kujiridhisha kabla ya kutoa hiyo mitihani. NBAA wanasisitiza sana mambo ya assurance lakini wao leo wanaboronga. Hii issue haiwezi kuwa immaterial hata kidogo!!
Kama Dr Assad vileee!!!It is a tragedy to our profession but i hope the Board will take and act on the matter accordingly. It is clear that assurance processes require special attention and rectification of some sort leave alone holding responsible team accountable. A through review of the assurance processes need to be done and shortcomings be addressed.
It is terrible incidence that calls for special intervention to avoid discrediting the Board and the profession at large. I hope they will rectify to avoid such incidence from happening in the future.
Poleni sana kwa usumbufu uliojitokeza!
Typical Tanzanian attitude. Yaani kwa vile madaktari wamefanya makosa basi na sisi wahasibu tukubali makosa?