Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) yakosea kuchapisha mtihani

Alafu NBAA na Bodi ya kenya na Rwanda wamesaini mkataba CPA(T),CPA(K) CPA(R) wafanye kazi kwenye nchi zao bila masharti magumu! Unafikiri Nchi gani itafaidika hapo!!

Mkuu kwa hali hii kwetu itakuwa maumivu matupu!!
 
Mkuu ni kweli kuna kipindi kama sikosei kuanzia mwaka 1990s hadi 2000s paper za NBAA zilivuja sana Arusha bahati nzuri nawafahamu CPA holder wa kipindi hicho hovyo.

utoah aliwahi kuchanganyikiwa kwa tetesi tu kuwa paper imevuja Arusha.NBAA wanasifika kwa umakini na quality ya professional exams lakini tembo akisifiwa sana....
 
siasa zimepenyezwa huko na ndio maana watu kwa mara ya kwanza wanaanza kuquestion 'nia' ya Mzee Utoh kama kweli anasimamia zile standards za NBAA.
Pia tusisahau kua hakuna taasisi ya umma ambayo wahasibu wake hawana CPA lakini taarifa zao za mahesabu ndizo zinakatisha tamaa maana wanaendeshwa na wanasiasa kwa hiyo na wao wameamua kuwa 'wanasiasa-'b'
Tangia maneno aingie pale mambo ya NBAA yamekuwa hovyoooo!! Tatizo lingine ni kwamba NBAA ni chombo cha serikali na wala si chombo cha wanachama. Ingekuwa chombo cha wanachama ingebidi mpige kura ya kutokuwa imani na hao viongozi ili muwafute kazi lakini hao ni wateule wa Rais!!! Hivi ACCA wanaendeshaje mambo yao? ACCA ni chombo cha nani? Kuna upuuzi kama huo kweli?
 
wahasibu mkuu... Uhasibu ni all about past records.
Mkuu huo uhasibu wa zamani sana! Siku hizi finance and accounts ndio moyo wa kampuni! Ndio maana ma casher na bank taller waliitwa wahasibu enzi hizo! Unajua role ya chief Accountant na finance manager?
 
siasa zimepenyezwa huko na ndio maana watu kwa mara ya kwanza wanaanza kuquestion 'nia' ya Mzee Utoh kama kweli anasimamia zile standards za NBAA.
Pia tusisahau kua hakuna taasisi ya umma ambayo wahasibu wake hawana CPA lakini taarifa zao za mahesabu ndizo zinakatisha tamaa maana wanaendeshwa na wanasiasa kwa hiyo na wao wameamua kuwa 'wanasiasa-'b'
Mkuu nilikuwa naona professional inayoheshimika ni uhasibu kumbe nayo hovyo!!!
 
siasa zimepenyezwa huko na ndio maana watu kwa mara ya kwanza wanaanza kuquestion 'nia' ya Mzee Utoh kama kweli anasimamia zile standards za NBAA.
Pia tusisahau kua hakuna taasisi ya umma ambayo wahasibu wake hawana CPA lakini taarifa zao za mahesabu ndizo zinakatisha tamaa maana wanaendeshwa na wanasiasa kwa hiyo na wao wameamua kuwa 'wanasiasa-'b'

Nikufahamishe kidogo mkuu.Kwa nchi yetu taasisi zote za umma reporting authority iko hivi; chombo cha juu cha maamuzi ni board ya wakurugenzi sehemu zingine wanaitwa board of trustees.Hawa wote wanateuliwa na Rais na hawa asilimia 90 ni wabunge na wanasiasa wastaafu na wanajeshi wastaafu.Hawa ndiyo decision makers juu ya kile kinachotolewa taarifa na hao mabingwa wa uhasibu, sasa swali; unategemea hata kama ni ripoti ya ukweli itafanyiwa kazi na hawa walafi wastaafu???? wakati board members wanateuliwa na fisadi mkuu??? unategemea watasaliti maslahi ya fisadi papa wao wanachotaka ni kulipoti uongo kwa umma, hivyo wahasibu wanalazimishwa kuripoti uongo kwa maslahi ya wakubwa????.Unafikiri Liyumba wa BOT alikula yeye peke yake??? anayo siri kubwa moyoni amehifadhi kwa ajili ya wakubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Leo tunasikia mzee msekwa kapelekwa nGORONGORO Conservation kama mwenyekiti badala yake yeye ndiyo mgawaji wa vitalu, unategemea mtaalamu wa finance hata akiwa na CPA, ACCA, CIMA na vingine vyote ataweza kukemea uozo anaofanya mzee msekwa???

Kwa hiyo mkuu ndiyo maana tunataka kutunga katiba ili kuweka mipaka ya madaraka ya , wahasibu, engineers doctors wafanye kazi kulingana na taaluma.Leo huwezi kumlaumu mhasibu atakayeshinikizwa kupitisha malipo ya kulipa Dowans muda utakapofika eti useme ni mzembe.Siasa zimetufikisha hapa tulipo.Nawasilisha
 
Wafanyakazi wa Bodi nao ni binadamu kama wewe!! Wakosee madaktari wa kuasua kichwa badala ya mguu sembuse hayo maandishi tu.

Typical Tanzanian attitude. Yaani kwa vile madaktari wamefanya makosa basi na sisi wahasibu tukubali makosa?
 
Mkuu umenena sawia!! Quality assurance ni muhimu sana. Ina maana wao hawakufanya review na kujiridhisha kabla ya kutoa hiyo mitihani. NBAA wanasisitiza sana mambo ya assurance lakini wao leo wanaboronga. Hii issue haiwezi kuwa immaterial hata kidogo!!

It is a tragedy to our profession but i hope the Board will take and act on the matter accordingly. It is clear that assurance processes require special attention and rectification of some sort leave alone holding responsible team accountable. A through review of the assurance processes need to be done and shortcomings be addressed.

It is terrible incidence that calls for special intervention to avoid discrediting the Board and the profession at large. I hope they will rectify to avoid such incidence from happening in the future.

Poleni sana kwa usumbufu uliojitokeza!
 
Kama Dr Assad vileee!!!
 
Typical Tanzanian attitude. Yaani kwa vile madaktari wamefanya makosa basi na sisi wahasibu tukubali makosa?

Hii inaitwa "rationalization of unethical act" kwa wahasibu na wakaguzi wa mahesabu.

Wamekosea, wamekosea; mleta maada anaweza kutujulisha ni kwa kiasi gani hii imeathiri ufanyaji wake wa mtihani huo? Ndio maana hata kwenye auditing kuna materiality ie level of accepting errors/misstatements, kwangu sioni ufanisi wake wa kuufanya huu mtihani kama umeathirika tofauti na kama ingeandikwa vinginevyo. Shits do happen.
 
Jamani watanzania tuache kulalamikia mambo yasiyo ya msingi. Hao ni binadamu na sio mashine. Wamekuwa wakifanya hiyo shughuli kwa miaka mingi, toka 1972 si mchezo. Ni bora tuwapongeze kwa kazi nzuri wanayofanya . Na pia ntapenda sana huyu mtu aliyepost hii kitu ajE pia atutajie matokeo yake, maana mi naona huyu bwana anatafuta sababu tu za kujustfy kufeli. Bodo bado ni taasisi yenye heshima sana na wataendelea kuwa hivyo.
 
nimeshukuru sn leo hawajarudia ule ukiazi wao wa kucopy maswali ya ACCA na kupaste yan ss roho yangu kwaatu nipo najipoza na castle bariiidi nasubria kuvaa joho tu november nxt year..ahsante kwako P Maneno..
 
hope this is not an excuse ya wewe kufeli..............i am the CPA(T) na nimefanya sana hizo pepa za NBAA,cha maana na kumshukuru mungu pepa haikuhairishwa.....fyn wamekosea wewe dili na pepa kwa sasa hayo mambo ya kuwajibishana watawajibishana wenyewe wanaohusika.unapokaa kulalamika baba muda unaenda wakati bado una auditing na M.A vinakusubiri kaza buti NBAA E xams si lele mama.
 
Back
Top Bottom