Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Jamaa atakuwa mtumishi wa bodi ya pamba huyu.
pamba haifi labda wewe ufe. Bodi ihamie mwanza tuendelee kuboresha zao letu hli pendwa.Kupigiwa mfano kwa lipi? Mbona pamba imekufa!
Mkulima wa pamba wa Tanzania huvuna kilo 200 kwa ekari wakati standard za kimataifa ni kilo 2000 kwa ekari. Ni aibu tupupamba haifi labda wewe ufe.
Uzuri wa taasisi yoyote ni pale ambapo inaweza kuwasaidia watu wakati wa matatizo. Kwa kusema hivyo nina maana bodi ya Pamba kama imeweza kuwasaidia wananchi wake kupata soko wakati wa matatizo ya soko ni bodi nzuri. Kama soko limepatikana tu kwa sababu ya nguvu ya soko yaani mahitaji ya pamba ni makubwa duniani na hivyo kupelekea bei kuwa juu bodi haihitaji kusifiwa sanaSisi wakulima wa Pamba kanda ya Ziwa tunajivunia bodi ya Pamba Tanzania kwa kufanya kazi zake kwa WELEDI mkubwa katika kututafutia masoko ndani na nje ya nchi kwa uharaka sana. Wakulima wenzangu wa pamba ni mashahidi kwa hili kwani tunajivunia pamba na jasho letu wengi wetu tumeweza kuwekeza katika miraid mikubwa mikubwa ya maendeleo na kilio cha kisasa kabisa (Teknolojia za kisasa) Kama ingekuwa uwezo wangu ningepandisha hadhi bodi hii na iwe wizara kamili (WIZARA ya MAENDELEO ya PAMBA)
** WEBSITE: www.cotton.or.tz
NB: Wafanyakazi wa bodi hii wanastahili pongezi hasa tukiazimisha siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi)