Naomba kujua kama mwaka 2012, wanafunzi wa udaktari walipewa GRANT au MKOPO. Nijuavyo JK alitangaza na ndiyo actually ilikuwa policy kuwa medical students (MD, DDS) wanapata grant and not mikopo. Ukweli ni upi?
We unataka mkopo wenzio waliokopa hawataki kulipa wahuska wanataka kuwaweka magazetini kwa picha na kuwakuta maofisini we wataka mkopo bado!!!
Aisee we lipa tu kwani wahusika wameshitukia issue hawalipwi sasa wale jamaa waliokopa kwanza hawajalipa je hiyo pesa ya kukupa ww wataitoa wapi?c haijarudi au mkinyimwa mikopo mnalalamikia serikali ikiwapa hamrudishi sasa hakuna mkopo kalipe hilo diri limebuma au cio
Mnalalamikia mikopo serikali inakula kona kuwakopesha kumbe hamlipi!! Baba zenu wamesomeshwa na serikali kwa mikopo wakasepa bila kulipa mtoto na wewe unataka mkopo hupewi ng'oo nilishawaambia walipe kwanza baba zenu hiyo mikopo ua kwanza ndiposa na ninyi mpewe bila hinyo hatutaki kusikia habari hizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.