Bodi ya mikopo mwaka huu 2012/2013=msiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo mwaka huu 2012/2013=msiba

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by DOMA, Jul 13, 2012.

 1. D

  DOMA JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Wakuu kwa mwaka huu utakuwa msiba mkubwa kwa wanafunzi wengi watakaojiunga vyuo mbalimbali kwani wengi walijaza kwa kuangalia watangulizi wao na sio kozi gani zenye kipaombele, kuna kozi kama B com zote, Bba, socialogy,PSPA, na zote za social science hakuna mkopo kabisa kwani bora hata wangepata asilimia 0, wakati wale wa ualimu watapata mkopo usiozidi sh 500000 wengine wanaoangaliwa ni wale wanaochukua shahada za udaktari, phamacy na wale wa engineering kwa maana hiyo wale waliosoma kozi kama Hkl,HGL,HGE,HGK,EGM Hawatapata mkopo kama hawataki kwenda ualimu kwa maana hiyo waende ualimu wenyewd hata kama ufaulu ni wa daraja la kwanza na point 3. Hakika huu utakuwa ni msiba kwa watoto wengi wa wakulima kwani ndio kozi wanazokimbilia
  nawasilisha!
   
 2. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wanatafuta namna ya kuiua hii Bodi.Huoni trend inavyoenda,walianza na mambo ya cost sharing Bodi 60%,Mwanafunzi 40% kujilipia.Baadaye wakaja kwa asilimia 20,40,60,80,100...Baadaye wakasema eti division 1 kwa wanaume na div 1&2 kwa wanawake ila UDSM walikuja juu wakaona noma wafuta hiyo.Baadaye wakasema tunatoa kwa kozi za kipaumbele yaani ualimu,udaktari na engineering....Baadaye wakaleta asilimia ila kwa 10,20,30,40,50.....ambao hata mimi hii system ndo iliniangukia.Sasa juzi wakasema wahisani wamepunguza kutoa hela kwa hiyo watapewa wahitaji na wenye serious cases pia na baadhi ya courses hazitapewa mkopo kabisa.....Kwa mwendo huu wale WENYE PESA NDO WATASOMA VYUO VIKUU KAMA HUNA PESA KAFIE MBALI NA CHAGUO LAKO....
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kwa mtindo huu tutapata walimu saafi! sema wito wa kufundisha hapo ndo shughuli! Ila katika kila 100 tunaweza kupata 50. Na shule zetu za kata zitapata walimu angalau itasaidia!
   
 4. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Liwalo na liwe=dhaifu.
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Tatizo watanzania,nyerere aliwalea kwa kuwadekeza sana,iweje mtu atake kuoa achangiwe zaidi ya 20milions,alafu mtu atake kusoma elimu ya juu tushindwe kuchangishana?inabidi tukumbuke kwamba dunia ya leo ni tofauti na dunia ya miaka 50 iliyopita,sio mtu anazaa watoto 10 ategemee eti serikari itawasomesha,inabidi mzazi ajipange hata kabla mtoto hajazaliwa,amwandalie budget ya kumsomesha tangu nursery mpaka chuo kikuu,serikari ina uamuzi wa kufadhili makundi ya watu itakao ona wana uhitaji kwa taifa kama madaktar,engineers,walimu na kilimo.hzo kozi zingne kama mtu anataka kuzisoma ajigharamikie mwenyewe bana,na ikumbukwe kwamba tanzania ya sasa ni sawa na iko kwenye mfumo wa uchumi wa kibepari ambapo mambo mengi ya kimaendeleo kama elimu yanafanywa na wananchi wenyewe na serikari inabaki kuwa msimamizi tu.ebu jaribuni kutembelea baadhi ya nchi kama kenya,uganda nk muone kama mikopo ya elimu ya juu inatolewa ovyo ovyo kama hapa tanzania inavyofanyika sasa,kule kwa wenzetu mikopo inatolewa kwa kozi ambazo serikari inaona zna uhitaji kwa mataifa yao.
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Science ina deal jamani
   
 7. D

  DOMA JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  hujaishi kijijini, na inaonekana mzazi/wazazi wako wako kwenye sytem yaani mtu hajui atakula nini unamwambia aandae budget ya mtoto eti hata kabla hajazaliwa? Kama mnataka afanye hivyo waachieni wananchi wachimbe madini yao mbona mnawafukuza na kuwapa wanyonyaji, waachieni ardhi yao walime wenyewe mbona mnawanyang'anya ardhi na kuwapa hao wanaowahonga, waacheni wauze mazao wanakotaka na sio kuwakataza kuuza kwenye soko zuri na kununua mazao yao kwa bei ya hasara.kuitetea hii serikali na mtanzania asiye mwizi kama wewe akakuelewa lazima uwe chizi
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  kama huna uwezo ya nini uzae?
   
 9. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,346
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Ndugu perry mi nimekuelewa sana sijui wenzangu ki ukweli Tz tuna mtindo wa ujinga wa kuzaa ovyo eti kisa "kila mtoto na bahati yake"Pumbafu unazaa ovyo alafu unawalea watoto kwa kuilalamikia serikali ieleweke maisha ya Tz yameshakua sereous so we have to cop with
   
 10. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Yawezekana wewe siyo Mwafrika
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Serikali ishafirisika sasa inakata mirija yote washaanza bodi ya mikopo wanataka kuja kwenye mifuko ya hifadhi(Social Security funds) huku ndio tutawazika mazima ccm kabla ya 2015.
   
 12. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkenya huyo
   
 13. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mtoto anayezaliwa ni mali ya Tanzania physically and socially,wakati mzazi ni biologically!Ukibisha,jaribu kumuua uone utakavyofanywa!
   
 14. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wewe kama una pesa ni wewe,usilete dharau za Kihaya.
   
 15. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Hapa kikubwa,gharama za higher studies zipungue na ziwe real affordable
   
 16. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu uko sahihi ila kumbuka bado kuna wimbi kubwa la wananchi ambao hawana kipato cha uhakika hata hizo harusi mkuu wanazochangishana ni baadhi ya watu wengine wanafunga harusi za laki tano tu tena hapo wamejitahidi sana. tatizo lililopo ni kuwa serikali ingekuwa inatambua ni nani mwenye nacho na ninani ambae hana uwezo kabisa ila serikali haiwezi kutambua hili kutokana na system mbovu ilivyokaa nchi zilizoendelea mkuu mkopo unapewa na taasisi za fedha hata za private ila wanakuwa na record yako na siku ukianza kazi hela inakuwa inakatwa moja kwa moja maana unakuwa na namba ya kufanya kazi NI so kila unapoenda kufanya kazi popote pale nchini wanajua una deni so kwa hivyo ni rahisi kwetu bado inabidi wachange mkuu. ukija kwenye suala la kujisomesha mkuu huko kijijini watu wanalala njaa kutokana na hali ya hewa siku hizi imekuwa mbaya mno mazao hakuna so chakula ni cha kusotea uje umwambie atoe million moja kusoma?? atakuuwa aisee. labda kwenye uzi wa watoto hapo kweli naungana na wewe watu wafanye uamuzi wa kuzaa kwa mpango na sio kama kuzaa matofali mengi ambao hutaweza kuwamudu maisha yamepanda sana siku hizi
   
 17. m

  mtozwaushuru Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Perry lakini ujue walala hoi hata harusi zao ni hoi. Hao unaowaona na harusi za milioni 40 ni hawa hawa mafisadi huku town.
   
 18. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mkuu hapo nakupinga!!! JE KAMA UMESOMA EGM NA UMEPANGIWA ENGINEERING HAPO HUTAPATA LOAN???
   
 19. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  LEO LEO LEO LEO LOE!!! tokea niijue jf nilijue hili jina...leo atleast nimeona point...safi sana na hivi ndo inatakiwa iwe sio kuropoka na kukatisha watu tamaa!!!
   
 20. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  :hat:mi bado sitaki kuamini kwamba tutanywimwa mkopo hadi nione live......hakuna alie na uhakika
   
Loading...