Bodi ya mikopo mwaka huu 2012/2013=msiba

Nimepangiwa Bsc in Wildlife Science and Conservation UDSM na nimesoma sayans afu ni non priority. kiukweli cjui itakuwaje. ngoja nixubiri ili nijionee mwenyewe.
 
Jambo linalo onekana katika nchi yetu kwa sasa ni tabaka la walionacho na wasiöacho, kiukweli hakuna ndoto za watoto wa maskini bali wote wanataka watufunge katika sehemu moja kwa kutoa priorities hivyo wa kutimiza ndoto zao watakuwa watoto wa matajiri wenye uwezo wa kughalimikia masomo wanayo taka.
 
Ikumbukwe kwamba hata baadhi ya watoto wa wakulima walichagua course zenye priorities lakn wakatemwa kwa sababu ya competition na watoto wa wakubwa waliosoma shule za chuma ulete tutafune na kutoka na one 1 za bandia. Cha kusikitisha zaidi haohao ndo watakaojaziwa account zao na bodi ya mikopo kisa wamechagua course zenye priorities. ANGALIZO
Kama kwel serikal ni sikivu huu mfumo ni mbovu zaidi ya hata iliyo tangulia utapelekea watoto wengi wa wakulima kushindwa kupata Elimu ya juu.
 
You are absolutely right mr.,we as Tanzanians have 2learn the done examples 4rm our neighboring countries..The situation doesnt allow us 2go on with the former and outdated sxstem...!
 

Attachments

  • CHAKUPEWA .CHS.jpg
    CHAKUPEWA .CHS.jpg
    11.3 KB · Views: 30
Back
Top Bottom