Bodi ya mikopo kwenye kuattach signed pages

Bodi ya mikopo kwenye kuattach signed pages

hatedthemost

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2021
Posts
470
Reaction score
331
Habarini wakuu.
Baada ya kuattach signed pages pale bado imebakia njano na sio green.
Hii ni kwenu wote au Mimi tu
 
Hata mimi imenitokea hiyo, ninafanya kazi stationery wote niliowafanyia zimeonyesha hivyo
 
Back
Top Bottom