Bodi ya Mikopo inawaibia Watanzania

Kwa nguvu ya mtandao naomba tusaidiane kupaza sauti juu ya udhalimu na unyanyasaji wa kupindukia kwa watu maskini unaofanywa na bodi ya mikopo juu ya wanufaika wa mikopo hiyo.
[/QU
Thanks to God hatuna bunduki
 
unawasomesha kama kweli.....watoto wa unaowaita masikini bure sekondary na msingi.wakifika vyuo vikuu ghafla baba zao wanakuwa matajiri. anayeshindwa kulipa 20000/= atwezaje 1000000?
PUMBAVU! BORA MM SILIPI JAPO NILIKOPA! WAJE WACHUKUE HUKU KWENYE KILIMO
 
Hawa jamaa sio watu aisee wamenibambikizia deni ambalo halinihusu wamenikata miezi 4 na hawajarejesha hela yangu hata mie


Mbwa hawa nawachukia sna kuliko ukoma
 
 

Attachments

  • HESLB.jpeg
    106.1 KB · Views: 38
 

Attachments

  • HESLB.jpeg
    106.1 KB · Views: 34
Huyu aliye andika hii barua hana akili.. na hazimo kabisa.

Anasema wastani wa kumaliza deni ni miaka 4 .

Kisha anasema penati inaanza baada ya miaka 2

Kwanini mnapiga penati wakati mnajua hakuna atakaye kuwa amemaliza deni..

Ndio maana napata ujasiri wa kusema hana akili aliye andika hui waraka.
 
bodi ni ya kihuni serikali inajifanya amna knachoendelea lakini kuna siku watu watalipuka lakini itakuwa too late
 
Post hii imekaa vizuri sana, tafadhali mods tuiweke kama sticky thread
Cc. Zitto
Moderator
@invicible
pascal mayalla
Kweli ni post nzuri, ila nina wasiwasi na alivyo kokotoa hiyo nyongeza ya 6% ya mkopo kila mwaka wa fedha, sababu nilivyo ona huo utoaji wa hiyo mikopo ya masomo ya juu nikama wame copy na ku paste toka nchi za hapa Ulaya, ila wao wamezidisha sana asilimia za marejesho. hiyo 6% huwa ina kokotolewa kutokana na deni unalo anzanalo katika mwaka ule wa fedha na sio deni Original, kwa hiyo kama mwaka ulio pita ulidaiwa milioni 30 umelipa milioni tufanye 2, kwa hiyo mwaka huu unaanza na deni la milioni 28 kitakacho ongezeka ni 6%*28 millioni nikama nyongeza ya 1.6millioni, kwa hiyo kadili unavyo lipa deni ndivyo nyongeza inavyo pungua. Lengo ni kuwasukuma watu walipe madeni yao, yule ambaye halipi deni lake ndio linaongezeka zaidi.
Ila ushauri wangu mimi nikuwa mwanafunzi anaye soma mpaka kumaliza masomo yake vizuri basi serikali imsaidie 40% ya malipo au hata zaidi kwa kadiri watakavyo ona, bali yule anayeishia njia bila sababu muhimu kama matatizo ya kiafya namengineyo basi alipe mwenyewe pesa yote aliyo kopa na nyongeza.
 
Hapa dawa ni kukimbia deni,


Kuhack account ta bod na kufuta detail zote
 
Kwahiyo ukichukua mil 28 +1.6m=29.6 tofauti ya laki nne tu, sasa hapo unakuwa unalipa deni au una maktaimu?
 
If unauwezo msomeshe tu mwanao kuepuka hizi adha
 

Mtafute Mhe Lukuvi, atamaliza Ma Tatizo haya kwani wengine hawafuatilii wao ni business as usual! Anavaa kwa viatu vya Sokoine Edward.
 
Hii isambae hata kwenye magroup ya WhatsApp.Tunatembea mwendo wa mlevi hatua mbili mbele nane nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…