Wi-Fi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,091
- 1,378
Kama kuna kitu kilichonifurahisha mwaka huu ni vigezo vipya vya bodi ya mikopo. Yaani vimetukumbuka sisi wanyonge tusiokuwa na kitu ambao tunasomea shule duni na kila tukijitahidi kusoma kwa akili zetu tunaishia division three wakati wenzetu watoto wa matajiri wanasoma shule nzuri, tuition lukuki na kuiba mitihani wanapata wani halafu wanatesa na mikopo asilimia mia, wakifika vyuoni wanatanua tu. Sasa Bodi imewakomesha, hakuna wani wala nini, kama babako tajiri no Loan. Hureeee Bodi ya mikopo kazeni uzi.
na unakiri kwamba ww ni mnyonge!! ngoja huko chuo kama utakatisha semester ya kwanza... dogo umekiabisha sana chuo ulichopangiwa.. ebu futa upimbi wako hapo juu alafu upige goti umuombe Mungu wako akusamehe