kipindi mi naomba nilicertify kwa wakili. Juzi hapa niliyekua namsaidia akasema wameelekezwa wacertify kwa Nacte. Ila kama wamerudisha kwa wakiki sawa
Unakituma RITA online then unatumiwa majibu.But sie tunasubiri mpaka Leo tangu tarehe 23 bado.Hata hatujui tufanyeje?kulipia uhakiki wa chetu cha kuzaliwa kwaajili ya kuomba mkopo tunafanyaje msaada tafadhali
Jamani na ikatokea umeaomba na umelipa but hujatumiwa approval nn kifanyike?
Mkuu mm niko namalizia semester na vision yangu ni kuuunganisha bachelor mwaka huu, mpaka sasa nishacertify cheti RITA tayari.. Yaan transcription ikitoka tu naaply mkopo kama dirisha likiwa wazi. Kuhusu vyuo tunaweza kuwahi dirisha LA pili maana linafunguliwa October 6 - October 12kwa wale ambao hawajapata award verification number namaanisha ,wale ambao wapo kwenye mitihani ya kumaliza diploma. je!, mnawashauri vipi?, wasubiri mpaka wapate AVN kitoka NACTE au waanze taratibu za kuhakiki vyeti RITA?.
Msaada please wale waliofadhiliwa elimu ya olevel au alevel je hii fomu inajazwa humu humu ndani na taasis iliyokudhamini au wakiandika barua inatosha?? na Kama unajaza ndani je usipojaza TIN number Kuna madhara yoyote naomben Msaada kwa Hilo nimekwamaView attachment 1531892
nacteJaman iyo award verification number unaomba wap
Umepata lini iyo AVN?Asante nmeshapata!!!na ww unajiunga university mwaka huu?
Samahan kwa kweli na vipi Kama ulidhaminiwa lakini hukupewa fomu ya udhamini ila ulivyoenda kwenye hiyo taasisi kuwaambia wakakuandikia tu barua ya kwenda heslb wakaelezea kuwa walikudhamini wakataja kiasi walichokudhamini kwenye hiyo barua wakaweka na muhur na sain je lakini hawajakupa fomu hii imekaajeMkuu, maana ya kutoa hyo form mwaka huu ni kutaka kuwe na uniform documents in that aspect. Hvyo hawahitaji barua yoyote zaidi ya kujaza hyo form yao na kuiupload wakati wa kufanya maombi.. Labda itakubidi uambatanisha na nyaraka nyingine kama resit za bank za malipo ya mfadhiri au barua ya ufadhiri( yaan ile form uliyopata kukuonesha kuwa umedhaminiwa masomo yako/kwa wale wa vyuo vya serikali waliofadhiriwa na serikali watatumia joining instruction yao)
Ila tu kitu walichofeli board ni kuidunisha(kuifanya dingo) hyo form kiasi kwamba ujazaji wa taarifa unakuwa wakubanabana.
Asante
Yaah that is "accepted testimony" kikubwa iwe sealed kama ulivyosema then una-attach to that formSamahan kwa kweli na vipi Kama ulidhaminiwa lakini hukupewa fomu ya udhamini ila ulivyoenda kwenye hiyo taasisi kuwaambia wakakuandikia tu barua ya kwenda heslb wakaelezea kuwa walikudhamini wakataja kiasi walichokudhamini kwenye hiyo barua wakaweka na muhur na sain je lakini hawajakupa fomu hii imekaaje
Asante Sana asee maana nilikuwa njia panda coz shule niliyosoma ilinichukua tu kutoka govt wakaongea na mzaz wakanifadhil ila hawajawahi kunipa risit Wala Fom yoyote Zaid ya joining instructions wakasema wamenisaidia tu sasa kwenye hiyo Fom Kuna proof of sponsorship ndo hapo tabu ilipoanzia asee coz nilisoma bure bila gharama zozote but nashukuru kwa maelezo yako umenifungua kiukweli coz nilikuwa nawaza nawezaje kuendelea kuwasumbua walimu akati walinifadhili tu alafu kingine kwenye hapo two senior officer name & title si wanaweza kusaini mwalimu mkuu na msaidiz tu inatosha au mpaka mwenye shule?? Afu kwenye reference number imekaaje hii unaandika Nini hapo??Yaah that is "accepted testimony" kikubwa iwe sealed kama ulivyosema then una-attach to that form
Ujue bhna mwaka huu awa bodi ya mikopo kuhusu swala la watu waliofadhiliwa masomo yao wameliweka complicated xana coz watu wengi uwa wanafoji nyaraka za kujifanya wamefashiliwa sasa safari hii ndio mana wanataka hadi Tin number mana hii siyo inshu ndogo na pia hadi expenses zote ulizo gharamikiwa ili kujiridhishaAsante Sana asee maana nilikuwa njia panda coz shule niliyosoma ilinichukua tu kutoka govt wakaongea na mzaz wakanifadhil ila hawajawahi kunipa risit Wala Fom yoyote Zaid ya joining instructions wakasema wamenisaidia tu sasa kwenye hiyo Fom Kuna proof of sponsorship ndo hapo tabu ilipoanzia asee coz nilisoma bure bila gharama zozote but nashukuru kwa maelezo yako umenifungua kiukweli coz nilikuwa nawaza nawezaje kuendelea kuwasumbua walimu akati walinifadhili tu alafu kingine kwenye hapo two senior officer name & title si wanaweza kusaini mwalimu mkuu na msaidiz tu inatosha au mpaka mwenye shule?? Afu kwenye reference number imekaaje hii unaandika Nini hapo??
Samahan kwa usumbufu!!!
Yaah, hapi Master anamaliza kila kitu hata hyo reference number master wako was shule anajua, So atakujazia vizuri tu.Asante Sana asee maana nilikuwa njia panda coz shule niliyosoma ilinichukua tu kutoka govt wakaongea na mzaz wakanifadhil ila hawajawahi kunipa risit Wala Fom yoyote Zaid ya joining instructions wakasema wamenisaidia tu sasa kwenye hiyo Fom Kuna proof of sponsorship ndo hapo tabu ilipoanzia asee coz nilisoma bure bila gharama zozote but nashukuru kwa maelezo yako umenifungua kiukweli coz nilikuwa nawaza nawezaje kuendelea kuwasumbua walimu akati walinifadhili tu alafu kingine kwenye hapo two senior officer name & title si wanaweza kusaini mwalimu mkuu na msaidiz tu inatosha au mpaka mwenye shule?? Afu kwenye reference number imekaaje hii unaandika Nini hapo??
Samahan kwa usumbufu!!!
Actually, mwaka wamefunga kazi kabisa yaani inabidi utumie akilini nyingi even money also ili uweze kuwalaghai kama wakivyofanya watu miaka ya nyuma.Ujue bhna mwaka huu awa bodi ya mikopo kuhusu swala la watu waliofadhiliwa masomo yao wameliweka complicated xana coz watu wengi uwa wanafoji nyaraka za kujifanya wamefashiliwa sasa safari hii ndio mana wanataka hadi Tin number mana hii siyo inshu ndogo na pia hadi expenses zote ulizo gharamikiwa ili kujiridhisha