Bodi ya Ligi yatoa tamko kuhusu sakata la mechi ya Simba na Yanga

Pia taarifa ya Bodi inaonesha haikupata maelekezo kutoka serikalini. Huko serikalini nako, hawajui nani aliyetoa taarifa hiyo. Sasa jamii ya soka imshike shati nani kutokan na mauzauza yaliyotokea, yanayoshawishi kuwa watu wabukwa wapenzi wa timu fulani kati ya hizo mbili, wanaashiria kupanga njama hizo kwa masalahi wanayoyafahamu wao!
Heads must roll down this time arounds...the victims ;our soccer caretakers vested to over see the game!
Ni rahisi kwa wizara kuiruka TFF kwani hakuna ushahidi wa kimaandishi kati yao. Labda kama mawasiliono ya cm yalirekodiwa na hilo ndo linapaswa FIFA kupelekewa kwani TFF haiwezi kuutoa kwetu.
 
Mkuu umeongea ukweli , ila siku ya mechi bendi ilikuwa inajipanga kupiga gwaride sijajua kiongoz gani alikuwa anatarajiwa
Kwamba kuna gwaride liliandaliwa; TFF wakabadili ratiba bila kujali kanuni zinasemaje, ushahidi tosha kwamba kulikuwa na shinikizo toka juu sana.

Mpango is a very humble person. Pamoja na u-Yanga, sioni kama angeweza kufanya uhuni huu. Nani atakuwa alisababisha adha hii kwa watanzania?!
 
Kwahiyo kwa mara nyingine, Bodi ya LIgi wanathibitisha kwamba hapakuwa na mashauriano yoyote kati ya vilabu na TFF licha ya kutambua walitaka kupeleka mechi mbele kinyume na kanuni!!

Yaani, TFF walikosa kabisa busara ya kukutana na timu zote mbili ili kujadiliana na kutoa sababu zao ni kwanini mchezo upelekwe mbele kinyume na kanuni inayosema taarifa ay kupeleka mchezo mbele inatakiwa kutolewa angalau saa 24 kabla ya tarehe ya mchezo iliyopangwa mwanzo!!

Bila kujali TFF walipokea maelekezo kutoka kwa nani, ukweli ni kwamba ni wao ndio wanaotakiwa kubebeshwa msalaba!!

Inawezekana Mama SSH (PLEASE, THIS'S JUST MY ASSUMPTION) alitaka kwenda kuosha macho pale Benjamin Mkapa, nae akawasiliana na wizara husika ambayo nayo wakaiagiza TFF moja kwa moja au kupitia BMT!

Na kama sio SSH basi watu kama akina P. Mpango ambao wanajinasibisha na ushabiki wa timu hizi mbili! Inawezekana kuingiliana huku kwa ratib kulitokana na baadhi ya hawa Waheshimiwa kuwa kwenye uzinduzi wa kitabu cha Mzee Mwinyi, na ili yeyote miongoni mwao aweze kushiriki sehemu zote mbili, ikaonekana tukio la kupeleka mbele ni lile ambalo lilikuwa halijaanza... yaani Simba SC vs Yanga SC Match!

Kwavile si TFF wala wizara wangehoji nia hiyo ya SSH, ndipo TFF nao bila kufuata taratibu wakaamua kuagiza timu kuhusu mabadiliko hayo badala ya kujadiliana nao!

Kama hisia zangu kuhusu SSH au mtu mwingine yeyote anayekaribiana na yeye kimamlaka zinakaribia na ukweli, na endapo TFF wangeziita timu zote mbili kuwaeleza sababu ndo hiyo, I AM SURE, kwa kuheshimu Mamlaka ya Rais, pasingekuwa na timu ya kupinga, na kwahiyo kungekuwa na makubaliano ya pamoja ya kupeleka mchezo mbele!!

Upo sahihi mkuu,

Bodi ya ligi wanauma uma ulimi na kupepesa masikio

Nasema wazi kama hili jambo limesababishwa eti na kutaka Rais SSH awepo uwanjani basi watu wa ITIFAKI wa Rais ni Wapuuzi kuliko kawaida,,, kwasababu mchezo wa Simba vs Yanga ulijulikana tarehe yake takribani miezi miwili kabla na tukio la uzinduzi wa kitabu cha Mwinyi lilijulikana takribani mwezi kabla ya tarehe ya tukio,,, sasa how come kutokee mgongano wa namna hiyo!????

Ikiwa hili la Mh SSH ni kweli basi naapa hakutotokea uwajibikaji wa kujiuzulu kwa yoyote iwe KARIA, KASONGO au Bashungwa,,, kwakuwa maagizo yalitoka ngazi za juu zaidi

Pili, tukija katika ishu ya viingilio vyetu hapa Serikali naomba msilete ubabaishaji kwasababu mfumo unaotumika kununua ticket N-CARD ni rahisi sana ktk kuweza kurudisha pesa za watu kwakuwa kila aliyeingia mpirani anamiliki ile card ikiwa na namba maalumu ya kumuwezesha kununua ticket na kuingia uwanjani,, hvyo tumieni hizo hizo namba maalumu zilizofanya malipo ya tiketi MRUDISHE PESA ZETU KWENYE N-CARD

Watu wanaohusika kupanga matukio na ratiba za Rais ni Wapuuzi, TFF na bodi ya ligi nao wajinga wajinga kama alivyosema Mecky
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Malizia NA WAO WAATHIBIWE.
Bado kuna mchawi anafichwa na mimi ndio namtafuta kweli, taarifa imeshindwa kujibu swali la msingi kwa nini mchezo ulisogezwa mbele? ili kama Yanga SC walikosea waadhibiwe, au kama Simba SC walikosea waadhibiwe, na kama kosa ni la TFF au Bodi ya ligi tujue.
 
Simba walitengenezewa mazingira ya kutopoteza mchezo tarehe 8 Kama kawaida. Hizi Imani za kiganga hizi mbaya sana

Au walifanya kuilinda timu ya simba ili ituwakilishe vyema robo fainal make watani wasingekubali chama na konde boy wawatese uwanjani
 
Upo sahihi mkuu,

Bodi ya ligi wanauma uma ulimi na kupepesa masikio

Nasema wazi kama hili jambo limesababishwa eti na kutaka Rais SSH awepo uwanjani basi watu wa ITIFAKI wa Rais ni Wapuuzi kuliko kawaida,,, kwasababu mchezo wa Simba vs Yanga ulijulikana tarehe yake takribani miezi miwili kabla na tukio la uzinduzi wa kitabu cha Mwinyi lilijulikana takribani mwezi kabla ya tarehe ya tukio,,, sasa how come kutokee mgongano wa namna hiyo!????

Ikiwa hili la Mh SSH ni kweli basi naapa hakutotokea uwajibikaji wa kujiuzulu kwa yoyote iwe KARIA, KASONGO au Bashungwa,,, kwakuwa maagizo yalitoka ngazi za juu zaidi

Pili, tukija katika ishu ya viingilio vyetu hapa Serikali naomba msilete ubabaishaji kwasababu mfumo unaotumika kununua ticket N-CARD ni rahisi sana ktk kuweza kurudisha pesa za watu kwakuwa kila aliyeingia mpirani anamiliki ile card ikiwa na namba maalumu ya kumuwezesha kununua ticket na kuingia uwanjani,, hvyo tumieni hizo hizo namba maalumu zilizofanya malipo ya tiketi MRUDISHE PESA ZETU KWENYE N-CARD

Watu wanaohusika kupanga matukio na ratiba za Rais ni Wapuuzi, TFF na bodi ya ligi nao wajinga wajinga kama alivyosema Mecky

Word
 
  • Thanks
Reactions: tyc
UENDELEA KUITETEA YANGA KWA SABABU ZA
KIKANUNI NI UFINYU WA MAARIFA
ni ajabu sana kuona watu wengi hasa
wachambuzi na wadau mbalimbali wa soka
kuwapa yanga big yes kwa walichokifanya
ni ufinyu wa mawazo kwa wachambuz
tunawaoamini kulishikilia suala hili kwan
hawajui kama tff ndo wanajua kanuni kuliko
wao??
non sense
mm nko tofauti na wachambuzi uchwara juu ya
hili .
jibu ni moja tu yanga kafanya mgomo kuingia
uwanjani
kwa nini tunashindwa kutumia neno mgomo kwa
sababu yanga ni klabu kongwe??!
hizo kanuni yanga wanazijua peke yao??
unakutana na mtu anakazia tuu kanuni ,kanuni
non sense
yanga waligoma na lengo ni kutaka kutuonyesha
wazi kwamba wanawatafuta kwa udi na uvumba
tff ..yanga siku zote anahisi anaonewa tuuuu na
tff
fact
kama tff walisema wamepokea taarifa kutoka
wizarani .je wangehoji nini??
tunajua kama serikali ina mambo mengi sana
hivi kwa mfano lingetegwa bomu kwa muda ule
nani angelaumiwa?!
yanga inaonekana ina nguvu kuliko
serikali,,kuliko tff kuliko bodi ya ligi ..
fact
kama muda wa mchezo ulitangazwa saa moja
kwa nini bodi iliahirisha mechi .kwa nini simba
hakupewa alama tatu
??
klabu zote zipeni uzito sawa
yanga imeipinga serikali,,pia imeipinga tff
makosa makubwa
kama ingekuwa jeshii maana yake yanga
hastahili kuwa mwanajeshi .ataambiwa asiende
huko kuna adui yeye ataenda kwa sabab
anasema kanuni inaruhusu
hivi ikatokea serikali ikatoa sababu ya msingi ya
kusogeza mbele tutawafanyeje tunaowalaumu??
tatizo halikuwa kwa mashabiki kwani wapo
walioridhika tatzo lilianzia yanga kufika muda
tofaut na kuondoka muda tofauti ndipo tatzo
lilipoanza
kwan yanga hawakujua mashabiki wake
wataumia lkn kwa sababu ya usimba na uyanga
mtu wa yanga hawezi sema klabu yake ilikosea
japo anajua ameshapata hasara
lkn klabu ingekubali kucheza muda huo hadi leo
kusingekuwa na lolote
msimamo wa yanga ndo umesababisha hayo yote
.
ulikuwa msimamo mzuri lakini sio sahihi kwa
wakati sahihi
hata barua yao ililenga wazi na ilikuwa inalenga
directly kwa tff
ila kwa mfano ingekuja mvua kubwa,au vita je
mechi isingesogezwaa mbele
tunapotaja kanuni kuu tunasahau kanuni
ndogondogo
kuna emergency
haki ikitendeka kuna mtu ataumia
busara ikitumika pia itaonekana mamlaka
hazina nguvu
hakuna kosa lisilo na mwenyewe
tusifiche kwa kuwafurahisha watu
ukiwa dhaifu utatumia sababu kuficha udhaifuu
picha ni addition tu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom