Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Siku hizi ahadi sio deni tenaKama ni kweli nakuahidi laki moja
Siku hizi ahadi sio deni tenaKama ni kweli nakuahidi laki moja
Za kuwinda mabasi ya timu pinzaniMtajuana wenyewe huko, si mlisema mambo mepesi tuendelee kuvuta subra, karne ya 21 mnaleta mambo zama za mawe
Wasitafute kivuli kama wao WANAWAKE kweli waspeleke timu uwanjani.🤣🤣🤣🤣Yote Sawa lakini aibu ya mwisho ni nyie kuleta Timu uwanjani. Kama mna msimamo msilete Timu! Kwani Bodi kuondolewa ndio Sheria zitakua zimefuatwa! Insane
haaa kumbe!!👿Ni uzushi tu hii ni nchi yetu tunaijua, yale maamuzi wala hayakuwa ya bodi ya ligi
Labda watolewe kama mbuzi wa kafara
Katika maisha kuna vitu vinaitwa Logic na Common sense, ukiwa unavitumia si kila wakati utaburuzwa, na waleta mada. Hata kama utaponda mtu ukweli husimama wenyewe.Hapo kwenye bold inaonyesha unaandika kishabiki hivyo habari yako inakosa sifa ya kuaminika.
HahahahaMtajuana wenyewe huko, si mlisema mambo mepesi tuendelee kuvuta subra, karne ya 21 mnaleta mambo zama za mawe
Kwa hiyo viongozi wa Simba ndiyo waliwakodi wale makomandoo wa Yanga kuja kuleta vurugu ili wapate kisingizio cha kutokuleta timu ?Yanga ndiyo waliogopa kufungwa ndiyo maana walianzisha vurugu .Katika maisha kuna vitu vinaitwa Logic na Common sense, ukiwa unavitumia si kila wakati utaburuzwa, na waleta mada. Hata kama utaponda mtu ukweli husimama wenyewe.
Mkuu hakuna kanuni inayosema usipofanya mazoezi huchezi mechi , tena mechi kubwa ya derby , kwa kutumia akili ndogo tu unaweza kuona kuwa simba wamekimbia mechi kuogopa kufungwa mara ya Tano mfululizo. Huhitaji d mbili.
Pia kwa kutumia akili ndogo unaweza kutambua kuwa bodi ya ligi si watu wa mpira ni wahuni tu waliokusanywa kufanya maamuzi ya mpira wasioujua na kwamba hawakutoa maamuzi sahihi hivyo kukosa uhalali wa kuendelea kukalia viti vyao, tena yapaswa washitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi na wizi maana raia tumelipa tickets na mechi haikuchezwa huu ni wizi wa wazi.
Unafikiri mpira mchezo wa kibao kata kama kule kwenu Tanga. PoleKwa hiyo viongozi wa Simba ndiyo waliwakodi wale makomandoo wa Yanga kuja kuleta vurugu ili wapate kisingizio cha kutokuleta timu ?Yanga ndiyo waliogopa kufungwa ndiyo maana walianzisha vurugu .
Wakibanwa vizuri watasema hata kiasi cha pesa walichopewa na 5imbaKatika maisha kuna vitu vinaitwa Logic na Common sense, ukiwa unavitumia si kila wakati utaburuzwa, na waleta mada. Hata kama utaponda mtu ukweli husimama wenyewe.
Mkuu hakuna kanuni inayosema usipofanya mazoezi huchezi mechi , tena mechi kubwa ya derby , kwa kutumia akili ndogo tu unaweza kuona kuwa simba wamekimbia mechi kuogopa kufungwa mara ya Tano mfululizo. Huhitaji d mbili.
Pia kwa kutumia akili ndogo unaweza kutambua kuwa bodi ya ligi si watu wa mpira ni wahuni tu waliokusanywa na boss mhuni mwenzao kufanya maamuzi ya mpira wasioujua na kwamba hawakutoa maamuzi sahihi hivyo kukosa uhalali wa kuendelea kukalia viti vyao, tena yapaswa washitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi na wizi maana raia tumelipa tickets na mechi haikuchezwa huu ni wizi wa wazi. Serikali iwabane.
Yanga wana haki ya kupewa points tatu na kulipwa fidia kwakuwa uwanja wa mkapa si mali yao, kama simba walizuiwa kuingia kwa kutotoa taarifa ilipaswa uongozi wa uwanja uite usaidizi wa askari hao vibonde waingie wakafanye mazoezi waje wakandwe khamsa. Yanga ina haki kutocheza derby ya kupanga matokeo.
Kibao kata unakijua wewe yaelekea ndiyo malezi yako.Unafikiri mpira mchezo wa kibao kata kama kule kwenu Tanga. Pole
Maana yangu ni kwamba mpira ni mchezo wa wanaume sio mchezo wa kususa susa, mmesusa alafu sasa hivi wakisusa wenzenu mnalalamika vipi kwaniKibao kata unakijua wewe yaelekea ndiyo malezi yako.
SelemanNarudia hiyo Mechi Yanga watacheza. Narudia Tena hiyo Mechi Yanga mtacheza. Si kwamba kwasababu Mimi si mwana Yanga! Zipo sababu narudia Tena Yanga hawatafanikiwa kugomea mechi! Muda na utasema. Nipo nimelala zangu humu geto mtanishtua mida