Wauieni tena simba wasifanye mazoezi siku moja kabla ya mchezo muine kama watachezaMtajuana wenyewe huko, si mlisema mambo mepesi tuendelee kuvuta subra, karne ya 21 mnaleta mambo zama za mawe
Wauieni tena simba wasifanye mazoezi siku moja kabla ya mchezo muine kama watachezaMtajuana wenyewe huko, si mlisema mambo mepesi tuendelee kuvuta subra, karne ya 21 mnaleta mambo zama za mawe
Kama mlichungulia tarehe 8 makaona 8 zinakuja mkatoka mbio.Sisi tunasubiri tu tarehe ya mechi tupeleke kilio mitaa ya Twiga na Jangwani
Mnaendelea kuaminisha watanzania kwamba Timu yenu imejaa wapumbavuZa ndaaani ni kwamba Bodi ya ligi inayosimamiwa na Simba Sports Club imeliwa kichwa katika hatua za mwanzo za kutafuta suluhu.
Tuendelee kusubiri taarifa rasmi
Mtauona ujasiri wetu siku ya mechi, mtake msitake lazima mlete timu uwanjani tuwashenyete kikubwa.Kama mlichungulia tarehe 8 makaona 8 zinakuja mkatoka mbio.
Huo ujasiri mnautoa wapi?
Washukuruni hao bodi ya ligi kwa kuharibu mechi ili mponeee.
Mangungu wetu gari yake kuwaka tu ni shidaMitano mingine kwa Mwenyekiti Mangungu.
Hadi kufikia hiyo tarehe Camara atakuwa ameshapona? Maana hamchelewi nyinyi kukimbia.Sisi tunasubiri tu tarehe ya mechi tupeleke kilio mitaa ya Twiga na Jangwani
Mliandika barua hamtacheza mechi nmeshangaa sasa mnata kucheza wakati mabaunsa bado wapoYote Sawa lakini aibu ya mwisho ni nyie kuleta Timu uwanjani. Kama mna msimamo msilete Timu! Kwani Bodi kuondolewa ndio Sheria zitakua zimefuatwa! Insane
Mara ya mwisho kupeleka kilio ilikua lini?Sisi tunasubiri tu tarehe ya mechi tupeleke kilio mitaa ya Twiga na Jangwani
Sio kila mwenye mamlaka ya kumweka/kumteua mtu basi ana mamlaka ya kumuondoa.Aliye na mamlaka ya kuwaweka pale ndio huyo mwenye mamlaka ya kuwatoa
Kwahiyo mtacheza sasa?Mtajuana wenyewe huko, si mlisema mambo mepesi tuendelee kuvuta subra, karne ya 21 mnaleta mambo zama za mawe
Tutaleta Timu kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi mkileta upuuzi wenu Hatuchezi mechi hadi upumbavu uwaishe...Hizo kelele sijui mlishacheza mechi tarehe 8 ni muendelezo wa upumbavu wenu na tarehe ya mechi ikipangwa mtaleta Timu na Ndio mtajua nyie ni wapumbafu tuMliandika barua hamtacheza mechi nmeshangaa sasa mnata kucheza wakati mabaunsa bado wapo
Nazungumzia kupata point tatu muu wangu sasa hiyo ya mara ya mwisho ina faida gani kwa sasa? Mlete tu timu tunataka pointi zetu tatu kwa jasho siyo za mezani.Mara ya mwisho kupeleka kilio ilikua lini?
Mara ya mwisho kupata point 3 ilikua lini? tarehe 8 timu ilikuja uwanjani mlikua wapi?Nazungumzia kupata point tatu muu wangu sasa hiyo ya mara ya mwisho ina faida gani kwa sasa? Mlete tu timu tunataka pointi zetu tatu kwa jasho siyo za mezani.
Huna habari kama mechi iliahirishwa, safari hii hakuna janja janja mlete timu mumezoea sana kutukimbia.Mara ya mwisho kupata point 3 ilikua lini? tarehe 8 timu ilikuja uwanjani mlikua wapi?
Tunao magolikipa watatu wote wa kiwango cha kuchezea Timu ya Taifa, msikimbie tuna hamu ya kuchukua point tatu kwenu maana kitambo hatujaokota kwenu,na za mezani hatutaki tunataka za jasho na damu.Hadi kufikia hiyo tarehe Camara atakuwa ameshapona? Maana hamchelewi nyinyi kukimbia.
In fact Mangungu, Magori na Try again wanastahili tuzo.Mitano mingine kwa Mwenyekiti Mangungu.