Tetesi: Bodi ya ligi imeshaliwa Kichwa

Tetesi: Bodi ya ligi imeshaliwa Kichwa

Hapo wakitaka mambo yaende vizuri ni kuchukua mjerumani mmoja akabidhiwe ili kujenga zaidi ligi yetu
 
Za ndaaani ni kwamba Bodi ya ligi inayosimamiwa na Simba Sports Club imeliwa kichwa katika hatua za mwanzo za kutafuta suluhu.

Tuendelee kusubiri taarifa rasmi
Nani ameunda bodi na nani anaweza kuivunja?
 
Kama ni kweli namsikitikia Karia na jopo lake kwa sbb waliwadekeza hao vyura na sasa wamewapanda vichwani..
 
Back
Top Bottom