Bodi bodi.... Bodi jamani

bodi wameshindwa kaz.bora waache kabisa maana watachafua nchi sio mda mrefu.hakuna m2 anayependa kuonewa
 
Unafikiri kila mtu anajua bodi ya mikopo bana?
Elezea kidogo, tatizo ni nini hasa.
 
tatzo bodi na tume zimekua nyingi, wiz mtupu, viongoz wanachekacheka 2 utadhan wamewekewa motor!.....
 
Kuna issue fulan ya fedha za mikopo kupelekwa kwenye mikono ya wahasibu wa vyuoni na wanafunzi kuzichukua kwa kupanga folen badala kuwekewa kwenye a/c zao.Mi najiuliza kwamba je wahasibu hawatategeka kukimbia na rundo la hela hususan kwenye vyuo vinavyochukua wanafunzi wengi kama UDOM?
 
Utendaji wa bodi ni mzuri, ila tatizo bajeti inabana.
 
Kuna issue fulan ya fedha za mikopo kupelekwa kwenye mikono ya wahasibu wa vyuoni na wanafunzi kuzichukua kwa kupanga folen badala kuwekewa kwenye a/c zao.Mi najiuliza kwamba je wahasibu hawatategeka kukimbia na rundo la hela hususan kwenye vyuo vinavyochukua wanafunzi wengi kama UDOM?

hivi una umri gani, unauliza maswali ya kijinga namna hii?
 
Back
Top Bottom