Bodaboda wazuri mjini Bunda

Bodaboda wazuri mjini Bunda

Jamani ndugu zangu, tunaomba heshima iwepo
hatukuweka hizo namba kwa ajili ya kupimwa akili
maana kuna mtu mmoja anakuwa anapiga simu
kwetu kuwa yeye ni abiria halafu ukienda
humuoni. Huo sio ustaarabu namba zake ni
0754568201 na jina lake ni RUTUFI ABUBAKARI.
Heshima iwepo jamani tupo kwa ajili ya biashara
sio matani.
 
Heheheeee hao ndo unasikia matapeli so what to do is to ignore new phone numbers. Tahadhari sasa inahitajika maana mnaweza kuibiwa hata pikipiki.
 
Hongereni sana. Nawaongezea wazo jingine la kufungua akaunti ya huo mradi pale NMB *MSIFUNGUE NBC KABISA MAANA KILA SIKU INAKUFA HIYO* ili kila siku mdondoshe kitu fulani mtakachojipangia kwa ajili ya kuboresha na tahapdhari ya mradi huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom