Bodaboda wazuri mjini Bunda

Bodaboda wazuri mjini Bunda

jaffari odhiambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
526
Reaction score
13
Hawa ndio madereva pikipiki/Toyo wazuri wa uendeshaji tena waaminifu.Wanapatikana katika wilaya ya Bunda mkoani Mara. Vijana hawa
wanapaki mtaa wa baisikeli nyumanya soko kuu karibu na duka la Nyamongo Hardware.

Kwa mawasiliano zaidi wanapatikana kwa namba zifuatazo : 0788043177, 0768215677,0682819436, 0765751413, 0753183313 na 0753216886. Mda wowote ukipiga unawapata.

Hata ukiwa mgeni ukifika Bunda piga moja kati ya hizo namba ili upate usafiri wa uhakika maana wana mwendo mzuri kwa sababu abiria anaendeshwa kwa speed anayotaka yeye abiria.

Karibuni sana kwa usafiri wa uhakika. Piga simu mda wowote ila kazi wanafunga kuanzia saa 2:30 usiku. Thank you in advance.
 
Peleka ktk jukwaa la biashara na matangazo madogo madogo.
 
Jamani biashara ni matangazo. Kwa hali sasa matangazo ya biashara ni kawaida.
 
Hawa ndio madereva pikipiki/Toyo wazuri wa uendeshaji tena waaminifu.Wanapatikana katika wilaya ya Bunda mkoani Mara. Vijana hawa
wanapaki mtaa wa baisikeli nyumanya soko kuu karibu na duka la Nyamongo Hardware.

Kwa mawasiliano zaidi wanapatikana kwa namba zifuatazo : 0788043177, 0768215677,0682819436, 0765751413, 0753183313 na 0753216886. Mda wowote ukipiga unawapata.

Hata ukiwa mgeni ukifika Bunda piga moja kati ya hizo namba ili upate usafiri wa uhakika maana wana mwendo mzuri kwa sababu abiria anaendeshwa kwa speed anayotaka yeye abiria.

Karibuni sana kwa usafiri wa uhakika. Piga simu mda wowote ila kazi wanafunga kuanzia saa 2:30 usiku. Thank you in advance.
Unazo bodaboda ngapi kwenye hicho kituo? eniwei, bandiko hili lingefaa liende 'Matangazo Madogo'
 
Watanipeleka kwetu masinono kwa sh. ngapi? Njia ya manyamanyama to saragana hadi masinono.
 
Labda nikupe ushauri kwa muono wangu.Maana hapa najua kesho haifiki post itafutwa.Maan unabahati kwamba Boss kubwa (Max)leo alikuwa kikaangoni EAT Tv.

Ni wazo zuri sana kuwa na kikundi na umoja huo.
Ningeshauri jichangisheni ili mtengeneze vipeperushi,kisha mvisambaze kwa kila abiria mnaemchukua.Wengne watavitupa na wengine watahifadhi kwa ku pick number za sim.

Sasa watakaovitupa wasiwakatishe tamaa,nyie pambaneni tu,kwani hata vipeperushi vya Bank watu wanavitupa vile vile ila wengine wanavitumia kwa kumbukumbku.
Hakikisheni vinakuwa vidogo ili visimkeri abiria kuchukua,na tafute mtu mzuri wa kuwaandalia texts za kuandika.Maana kama utakuwa wewe nauandishi wako huo inaweza ikawa kituko.Maana Unabahatisha.
Kuna sehem umendika kwamba Dereva anaendesha kwa Speed anayoitaka abiria,duhh sasa hapo kazi kweli kweli,wengine wanataka moto mkali,sasa hapo inakuaje kwamba Dereva Hana msimamo.
Ni Lazima Dereva wawe na Speed maalum kisheria kulingana na eneo na ukubwa wa Barabara na mazingira ya njia.

Pili,number za sim zote ni za madereva,hili ni tatizo kubwa sana.Na itasababisha sana ajali na mtagongwa kama kuku.Maana utaona sim ikiita unalazimsiha kusimama kwa kujipa matumaini kwamba kuna dili la abiria.Na mbaya ziaid unaweza kukuta hauisikii ikiita,na hapo abiria ataona ni wapuuzi na kuchukua ustaarabu mwingine
Nashauri kwamba tafuteni sehem au hata kibanda cha mbao,changeni mkitengeneze na mkiweka sehem,hata kama ni meza na kiti tu sio mbaya.
Hapo Muajirini mdada mmoja ndio awe Customer care au tuseme Service Center.Yaani yeye tu ndio awe na access ya kupokea sim za abiria.Maana atakuwa anajua muda huu Dereva fulani kaelekea sehem fulani.
Maana unaweza kukuta kwamba abiria anapiga sim yupo mbali na labda kuna dereva ameelekea njia ya huko au karibu na huko.hapo mnaweza kufanya kwamba yule Dereva alie karibu ndio akamchukue ili ku save mafuta na kupunguza gharama kwa mteja,ni bora yule wa karibu aunganishe.Hapa mtakuwa mmempunguzia mteja gharama kubwa tofauti na kwamba mngetuma dereva mwingine kutoka kituoni.
La sivyo mkapoteza wateja muhim,mtu ataona kwamba akiwaiat akiwa mbali mnacharge bei kubwa na kufanya adandie bodaboda za mitaani wakati wa kurudi.

Angalizo:Hapo najua mtarogana nyie kwa nyie mpaka basi,mie simo

Hasante mkuu kwa ushauri wako mzuri
 
Na huyu atakuwa ni kiongozi wao.

Sidhani kama huyu ni "Kiongozi wao". Nadhani huyu ndiye mmiliki wa hizo Toyo na wandeshaji (bodaboda) ni waajiriwa. Kwa uandishi huu, huyu ni Msomi, mwenye Taaluma yake ambaye ameamua kuwekeza kwenye Bodaboda na kumiliki "Kijiwe" chake kabisaa cha Bodaboda. Ifahamike kuwa biashara ya Bodaboda haina cha Kodi wala EDF!

Hongera Mleta Uzi kwa kubuni Mradi!
 
Biashara matangazo hao vijana wameanza kujua namna yakufanya biashara na hiyo nikutokana na wingi wa boda boda mji mdogo wa bunda wilaya ya kazi. Pia ushauri wangu boda boda punguzeni mwendo kasi pia vaeni vifaa vya vinavyo takiwa kwa usalama kumbuka boda boda haina bodi ukipata ajali hakuna kupona hata kama hautakufa jua utaumia.
 
Hasanteni sana kwa maoni yenu mazuri ya kutusaidia. Hawa vijana wote wanavaa majackets na elements mda wote wawepo kazini. Suala la kuajiri mdada linashughulikiwa maana ni wazo zuri sana. Kuhusu speed ni kwamba ni speed ya kawaida na wala hakuna kuchoma nyumba maana tunahofia nyumba ikiungua tayari abiria na dereva wataungua ila hatuhitaji kuwa na tabia mbaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom